BODI YA MIKOPO YAANZISHA UTARATIBU WA KUREJESHA MIKOPO KWA NJIA YA SIMU
Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu utaratibu...
View ArticleKAMBI POPOTE - RAIS JK
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...
View ArticleRIDHIWAN AENDELEA KUCHANJA MBUGA KIJIJI KWA KIJIJI, CHALINZE
Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli akitoa burudani kwa wananchi wakazi wa kijiji cha Misakazi, Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014.Picha na Othman Michuzi.Mwenyekiti...
View ArticleSHULE YA SEKONDARI MABIBO NA UBALOZI WA JAPAN WASAINI MKATABA WA WENYE...
Mstahiki Meya wa kinondoni Yusuph Mwenda akizungumza wakati wa usainishwaji mkataba baina ya shule ya sekondari mabibo na ubalozi wa Japan. Baadhi ya walimu na wanafunzi wa mabibo sekondari Balozi wa...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, KESHO IJUMAA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine...
View ArticleHEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MARA NYINGINE NCHINI TANZANIA
KAMPUNI ya Bia ya Heineken, imezindua msimu wa pili wa kampeni ya michuano ya Foosball kwa nchi za Afrika Mashariki, ambayo itaanza kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa mbalimbali.Heineken ambao pia...
View ArticleSERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA MATAIRI CHA GENERAL TYRE, ARUSHA
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (mwenye suti nyeusi) akioneshwa moja ya mashine zilizokuwa zinatumika kutengenezea matairi katika kiwanda cha General Tyre kilichopo katika jiji...
View ArticleWASHINDI WA SHINDANO LA MUSIC MASTER LILILOENDESHWA NA HEINEKEN TANZANIA...
Washindi wa Music Masters competition Ibrahim Kowero (kulia) na Issah Mwilima katika picha ya pamoja kwenya hafla fupi ya kuwaaga kabla hawajakwea pipa kwenda Dubai kushuhudia Heineken Music event...
View ArticleREHEMA MBEGU ATOA ZAWADI ZA VIFAA VYA MICHEZO KWA MABONDIA, DAR
Mgombea wa kiti cha ukatibu UVCCM jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, Rehema Mbegu leo amewazawadia mabondia wa kambi ya bigright ya Mwananyamala vifaa vya michezo vikiwemo bukta za ulingoni jozi...
View ArticleMAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI...
MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka B wa. Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo...
View ArticleMARUFUKU KUFANYA BIASHARA ENEO HILI
Moja ya bango lililopo katika barabara ya Morogoro eneo la Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam kituoni ambapo bali na kuwekwa bango la kuzuia kufanya biashara wananchi hawalitilii mkazo na hawaoni...
View ArticleSHIRIKA LA POSTA TANZANIA LATOA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO WAKE WA...
Pichani ni Postamasta Mkuu na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bwa.Deos Mndeme akizungumza na Waandishi wa Habari kwenye Makao makuu ya Ofisi hizo jijini Dar mapema leo kuhusiana na taarifa...
View ArticleRIDHIWAN AWAVAA WANAKIWANGWA KUOMBA KURA
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Kiwangwa , Ridhiwani Kikwete...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI
Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu. Kauli mbiu...
View ArticleHOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Rais Jakaya Kikwete, akiwahutubia Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo katika ukumbi wa Bunge mjini Dodom, ambapo katika hotuba yake ametumia dakika 155:46, kwa kutoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
View ArticleUKAGUZI WA FILAMU NCHINI WAONGEZEKA, TOKA FILAMU 96 MWAKA 2000 MPAKA 1059...
Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam katika kuelezea mafanikio ya bodi ya...
View ArticleHAMNA BUDI, HAIBA NA TASWIRA YA UONGOZI MUIONYESHE WAKATI WOTE WA KUENDESHA...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleWANAFUNZI WANAWAKE CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA WAANZISHA MFUKO WA KUWAKOMBOA...
Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Mary Mwangisa (kulia) akizungumza jambo kabla ya kuanza kwa maandamano ya wanafunzi wa Kike wa chuo cha CBE kampasi ya Dar es...
View ArticleDAKIKA 90: KUPOTEA KWA AIR MALAYSIA NA TAKWIMU ZA USALAMA WA ANGA DUNIANI
Ndege aina ya Boeing 777 ya Malaysia Airlines ikiruka kutoka Roissy-Charles de Gaulle Airport nchini Ufaransa mwaka 2011. Photo Credits: PressTvWakati harakati za kutafuta ndege ya Shirika la ndege la...
View Article