Moja ya bango lililopo katika barabara ya Morogoro eneo la Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam kituoni ambapo bali na kuwekwa bango la kuzuia kufanya biashara wananchi hawalitilii mkazo na hawaoni faida yake kama walivyokutwa wakiendesha biashara zao.
Wananchi wakiendelea na shughuli zao za kila siku, bila kufuata tangazo lililowekwa.
....bila kuona umuhimu wa tangazo hilo, mchoma mahindi kaamua kuweka jiko lake chini ya bango hilo linalozuia yeye kufanya biashara eneo hilo.
Biashara ikiwendelea kama kawaida bila kujali athari za eneo hilo kukatazwa.