MAJILIWA KAJALIWA BUSARA
Ni nadra sana kwa mwanasiasa wa kiafrika kuamua kutogombea uchaguzi uliopo mbele yake, wanasiasa wetu wengi wanapenda sana kuongoza or madaraka na hawatoki mpaka walazimishwe.Uamzi wa Kassim Majaliwa,...
View ArticleWAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Ajira, Vijana naWenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo...
View ArticleTaarifa kwa Umma Toka Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB)
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKliniki ya Biashara ya FCC kuwafikia Washiriki zaidi 3500
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.Tume ya Ushindani wa Haki (FCC) imechukua hatua madhubuti kuimarisha uelewa wa sheria za ushindani miongoni mwa wajasiriamali wadogo na wa kati kwa kuzindua kliniki...
View ArticleTwende Butiama 2025:Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi...
Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40,...
View ArticleMSIGWA ATEMBELEA BANDA LA JAB, ASISITIZA USAJILI NA WAANDISHI WATIA NIA...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa akisaini kitabu cha Wageni pamoja na kuzingumza na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB, leo...
View ArticleVodacom Tanzania yashiriki maonesho ya 49 ya Kimataifa Sabasaba jijini Dar es...
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania , Philip Besiimire ( Mwenye tisheti nyeupe), pamoja na Mkurugenzi wa Udhibiti wa Hatari na Utii wa Sheria Agapinus Tax (wa kwanza kushoto) wakipewa maelekezo kuhusu...
View ArticleSerikali kuboresha ujuzi wa wanablogu kupitia mafunzo
Na Mwandishi WetuSerikali imekubali kutoa mafunzo maalum kwa waandishi wa blogu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, hatua muhimu itakayowajengea uwezo na kuwaandaa kubeba dhamana kubwa ya usambazaji wa...
View ArticleREA yajipanga kutimiza malengo ya kitaifa ya upatikanaji wa nishati safi ya...
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo mwaka 2034 kama...
View ArticleTPDC yavuna tuzo ya mazingira kwenye Maonesho ya 49 ya Sabasaba
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeibuka mshindi katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba, baada ya kutuzwa kwa mchango wake mkubwa katika...
View ArticleMatokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025 yametolewa – Bofya hapa kuyapata
MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA 2025ACSEE 2025 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIESTAZAMA MATOKEO HAPAMATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2025MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2025MATOKEO YA...
View ArticleDCEA yawakamata waliokuwa wakitengeneza biskuti zenye bangi na skanka Sinza,...
●Mfanyabiashara wa madini anaswa mkoani Lindi akisambaza biskuti hizoNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imebaini uwepo wa kiwanda bubu...
View ArticleWaziri Chana afanya kikao na Mkurugenzi Msaidizi wa UNESCO, Ernesto Ottone
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana leo Julai 10, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Msaidizi wa UNESCO anayeshugulikia masuala ya Utamaduni, Bw. Ernesto Ottone,...
View ArticleDkt. Biteko: Taifa lina uzalishaji wa umeme unaokidhi mahitaji
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa NishatiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ina umeme wa kutosha hatua ambayo imechangiwa na kukamilika kwa Miradi...
View ArticleWaziri wa Cyprus ahitimisha ziara ya siku tatu Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus. Dkt. Constantinos Kombos amekamilisha ziara yake ya kikazi ya siku tatu nchini Tanzania na kuagwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
View ArticleTaasisi ya Elimu Tanzania (TET) yatoa ufafanuzi kuhusu Utekelezaji wa Mtaala...
UFAFANUZI WA TETTaasisi ya Elimu Tanzania (TET) inaushukuru umma kwa kuendelea kufuatilia kwa karibu taarifa mbalimbali zinazozuhusu utekelezaji wa majukumu yake. TET imeendelea kuhakikisha kuwa...
View ArticleVodacom na Stanbic wametoa miche ya miti na vifaa kusaidia Singida
●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende ButiamaMkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage...
View ArticleVodacom na Stanbic Bank Tanzania wametoa msaada wa kijamii kwa Halmashauri ya...
Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau (wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti...
View ArticlePinda Ataka Haki Katika Uteuzi wa Wagombea
Na Oscar Assenga, TANGA.WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Mizengo Pinda amehimiza viongozi waliopewa dhamana ya mamlaka ya kusimamia mchakato wa uteuzi wa...
View ArticleTPA, TRA Wakusanya Bil. 484.8 Kutokana na Uwekezaji wa Bandari ya Tanga
Na Oscar Assenga, Tanga.FEDHA zilizotolewa na serikali kiasi cha shilingi bilioni 429.1 kwa ajili ya uwekezaji katika bandari ya Tanga, fedha hizo zimerudi na kubaki salio la shilingi bilioni 56.7.Hayo...
View ArticleMsajili wa Hazina Asifu Usimamizi wa Shamba la Miti West Kilimanjaro
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro.Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Mashirika Yasiyo ya Kibiashara kutoka Ofisi ya Msajili wa Hazina, Bw. Joseph Mwaisemba, amefanya ziara ya kikazi katika Shamba la Miti...
View ArticleVodacom na Stanbic Wafunga Msafara wa Twende Butiama 2025 kwa Mafanikio
Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa wa Mara.Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha...
View ArticleMiradi ya Bil. 71.3 Kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru, Manyara
Na mwandishi wetu, Simanjiro.MWENGE wa uhuru mwaka 2025 utakagua, kuzindua na kutembelea miradi 51 ya maendeleo yenye thamani ya Sh71.3 bilioni, katika mkoa wa Manyara.Mkuu wa mkoa wa Manyara, Queen...
View ArticleProf. Kabudi: Kufanya Kazi Bila Press Card Ni Kinyume cha Sheria
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Palamagamba Kabudi amesema yeyote anayefanya kazi za kihabari bila kuwa na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card) kinachotolewa na Bodi ya...
View Article