Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga akielezea mafanikio ya utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikikagua miradi ya Umeme katika Mkoa wa Iringa tarehe 19 Machi 2025
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Mathayo Davidi akiongea na Wananchi wa Kijiji cha Kiseda wilayani Mafinga wakati Kamati hiyo ilipotembelea Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) katika ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikikagua miradi ya Umeme katika Mkoa wa Iringa tarehe 19 Machi 2025
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatib Kazungu akifafanua jambo kwa wafanyakazi wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ikikagua miradi ya Umeme katika Mkoa wa Iringa tarehe 19 Machi 2025Image may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakikagua utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) wakati wa ziara ya Kamati hiyo ikikagua miradi ya Umeme katika Mkoa wa Iringa tarehe 19 Machi 2025.