
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi CCM akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Bw. Ridhiwani Kikwete katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Kiwangwa , Ridhiwani Kikwete amewaomba kura wananchi hao kumpigia kura itakapofika Aprili 6 mwaka huu katika uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa mbunge wa jimbo la Cha;inze marehemu Said Bwanamdogo aliyefariki hivi karibuni, mkutano huo umehudhuriwa na maelfu ya wananchina wanaume kwa wanawake vijana kwa wazee.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KIWANGWA -CHALINZE)
















Baadhi ya wana CCM wakiserebuka wakati msanii Sam wa Ukweli akitoa burudani katika kijiji cha Msinune.