Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19632 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WADHIBITIWA WASIINGIE MAHAKAMANI

 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa malighafi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KANISA LACHOMWA MOTO ZANZIBAR

Moja ya kanisa lililochomwa moto huko Visiwani Zanzibar kipindi cha mwishoni mwa mwaka 2012. (Picha na Maktaba).Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la PolisiWAKATI Watanzania wakiendelea kutafakari tukio la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAJUMA JIMAMA AFANYA VITU VYAKE MBELE YA MASHABIKI TCC CHAN'GOMBE

Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti ' Mwajuma jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YATOKEA MCHANA HUU, JIJINI DAR

 Magari yagongana eneo la barabara ya Baharini jijini Dar es Salaam mchana wa leo baada ya kushindwa kupishana vizuri na kusababisha uharibifi kama unavyoona. Ajali hiyo ilihusisha gari namba T 173 AUB...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO: MATOKEO KIDATO CHA NNE AIBU TUPU, KESI YA PONDA BALAA

Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARAKA WA JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU

Huu ni waraka wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu unaosambazwa.Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YAKABIDHI ZAWADI WA DROO YA SMARTCARD

Kampuni ya Tigo leo imemkabidhi mshindi wa smartcard droo bw. Julius Raphael Kanza Tiketi ya kwenda Uhispania kushuhudia pambano la ligi ya uhispania La Liga kati ya Real Madrid na Fc Barcelona mwezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUZO YA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA

Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREHEMU PADRI EVARISTUS MUSHI KUZIKWA KESHO JUMATATO TAR. 20.2.2013 KATIKA...

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Mhashamu Augustino Shayo akizungumza na waandishi wa Habari---Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Mhashamu Augustino Shayo, akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUNAOMBA RADHI KWA PICHA: MCHANGIE MTOTO HUYU ILI AWEZE KUPATA MATIBABU

Nyumba iliungua wakati watoto hao wamekaa ndani na wakati huo huo mama wa mtoto alikuwa amekwenda shambani maeneo ya Chitemo iliyoko wilaya ya mpwapwaWakati mvua inanyesha ghafla nyumba ilibomoka na...

View Article

WAKAGUZI WA NDANI WA SERIKALI WATAKIWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA

Na Heka Paul na Shakila Galus, MAELEZO –DarWakaguzi wa Ndani wa Serikali wametakiwa kubadilika na kuacha kufanya kazi zao za kila siku kwa kufuata mazoea ili kuongeza ufanisi katika kuwatumikia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU SITA WAPOTEZA MAISHA KWA WIVU WA MAPENZI

WATU sita wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na wivu wa mapenzi, katika matukio matano tofauti katika kipindi cha miezi mitatu mkoani Mbeya.Matukio hayo yametokea kati ya Oktoba, Novemba mwaka jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSI TANZANIA HUDUMA HII IMEISHIA WAPI???

Moja ya miradi iliyoanzishwa mwaka juzi na kampuni ya PSI Tanzania ni usambazaji wa Kondomu katika kumbi za starehe ikiwemo disco na mabaa tofauti yaliyopo katika jiji la Dar es Salam. Tatizo kubwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA MAZISHI YA PADRI EVARISTUS MUSHI

 Vijana waumini wa Dini ya Kikiristo wakiteremsha jeneza lenye mwili wa marehemu  Padri Evaristus Gabriel  Mushi,katika kaburi alilozikwa  leo katika viwanja vya kanisa la Katoliki la Kitope,Wilaya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GARI INAUZWA

Gari ya Mwaka 2004Imetembea Km 8100Inauzwa Mil. 26Kwa maelezo zaidi wasiliana na 0713096509Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MRADI WA “AIRTEL SHULE YETU” KULETA UFANISI KATIKA MASOMO YA SAYANSI

Meneja huduma kwa wateja wa Airtel Hawa Bayumi akimkabithi Afisa elimu wa mkoa wa Mwanza Hamisi Maulidi msaada wa vitabu kwa shule tatu za sekondari za Kalebezo, Buhongwa, and Kabuhoro zilizopo mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA DELOITTE YAFANYA UTAFITI WA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO KWA MIEZI...

Mkurugenzi wa Kampuni ya Deloitte nchini Kenya, Bw. Nikhil Hira akiongea katika mkutano na wadau wa teknolojia na mawasiliano leo ambapo alisema kuwa kwa utafiti mdogo ambao wameuanza unaonyesha kuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA USAFIRISHAJI KWA NJIA YA BARABARA CHATAMBULISHWA

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji kwa njia ya barabara (TARWOTU) akitambulisha chama chao chenye ambacho lengo lake ni kutetetea na kusimiamia haki za wafanyakazi. Chama hicho makao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND HUYU WA NGAPI???

Diamond akiwa na demu wake mpya.. Uhusiano wao huu umeanza kwa mbwembwe nyingi, ingawa jamaa anazuga kama kawaida yake.---Na Kambi Mbwana, Dar es SalaamMSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA NANE LA WANAHABARI NA WADAU WA NHIF LAFUNGULIWA LEO MKOANI MTWARA

 Mgeni Rasmi katika Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kulia) akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa...

View Article
Browsing all 19632 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>