Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19631

CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA USAFIRISHAJI KWA NJIA YA BARABARA CHATAMBULISHWA

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Usafirishaji kwa njia ya barabara (TARWOTU) akitambulisha chama chao chenye ambacho lengo lake ni kutetetea na kusimiamia haki za wafanyakazi. Chama hicho makao makuu yake Buguruni jijini Dar es Salaam. Pembeni ni viongozi wa chama, Katibu Mkuu Bw. Salum Abdala, Mjumbe wa Baraza Bw. Yusuph Mgumba pamoja na Mwenyekiti wa Baraza Bw. Mauldi Shabani.
Mwenyekiti wa TARWOTU (katikati) alisema kuwa Mwanachama wa chama cha TARWOTU ni mfanyakazi anayefanya kazi ya udereva wa basi, lori, trekta, pick-up, Pikipiki, Bajaji, Baskeli, Kondakta/tanboy/Fundi wa gari au Utingo na wenye leseni halali ya kuendeshea chombo cha usafiri nje na ndani ya nchi na iliyotolewa na serikali anauhuru wa kujiunga na chama hiki. Kutoka Kulia ni viongozi wa chama akiwemo Naibu katibu mkuu Bw. Jimmy Mnkeny, Katibu Mkuu Bw. Salum Abdala, Mjumbe wa Baraza Bw. Yusuph Mgumba pamoja na Mwenyekiti wa Baraza Bw. Mauldi Shabani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19631

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>