Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19632 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO TANZANIA IMETANGAZA KUBADILI BEI ZA HUDUMA ZAKE ZA TIGO PESA KUANZIA SASA

Meneja wa Tigo Pesa Bi. Catherine Rutenge Alisema “dhumuni kuu la kubadili bei na kuweka viwango vipya ni kuhakikisha kuwa wateja wa vipato vyote hususan wenye vipato vya chini wanaweza pia kunufaika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MWAI KIBAKI AZINDUA BARABARA YA JINA LAKE JIJINI DAR

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph  Mwenda kutembea hatua chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENDI YA SKYLIGHT YAENDELEZA MASHAMBULIZI, YATAMBULISHA WIMBO WAO MPYA

Meneja wa bendi ya Skylight, Anneth Kushaba a.k.a AK 47 akiongea na waandishi wa habari wakati wakitambulisha wimbo wao mpya uitwao 'Nasaka Dhoughs'. Pembeni ni mwimbaji mwenzake Joniko flower....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKOCHA WA MCHEZO WA NGUMI WAHITIMU KOZI YA HAWALI

Meja Charles Mbuge wa pili kushoto akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya Hawari ya ukocha wa mchezo wa masumbwi,Charles Muhilu wakati wa kumalizika kwa kozi hiyo Dar es salaam leo kushoto ni mjumbe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAUME KUWENI MAKINI NA MNAPOCHAGUA MKE WA KUOA: SETH GIOVANNI

Wanaume kuweni makini sana mnapochagua Wanawake wa kuwapenda, ili wawe wake zenu siku si nyingi, Wanawake wa siku hizi wote wanataka ndoa, Vimeo wanaota ndoa, Virukanjia wanaforce ndoa kwa mimba za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU IGO'S LOUNGE ILIYOPO SINZA MAPAMBANO JIJINI DAR

Muonekano wa IGO'S Lounge iliyopo Sinza Mapambano jijini Dar es Salaam. Kiota hiko kina raha mbali mbali zinapatikana ikiwemo Wahudumu wakarimu... Vyakula vya Kila Aina, Nyama Choma, Supu Ya Kuku wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFYA YAKO: JE UNAJUA NI KIASI GANI CHA MBOGA MBOGA NA MATUNDA UNATAKIWA...

Je, nitumie kwa kiasi gani mboga mboga na matunda?Ni muhimu kula mboga mboga na matunda kila siku na hasa wakati wa mlo. Unashauriwa kula mboga mboga na matunda ya rangi mbali mbali kwani rangi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YATINGA KWENYE KUMI BORA NDANI YA LONDON FASHION WEEK

Wanamitindo wa Kitanzania kwenye London Fashion Week 2013. Mama Rose Kiondo, Samson Soboye, Mama Balozi Joyce Kallanghe, Anna Lukindo, Christine Mhando, Jacquline Kibacha .Wanamitindo wa Kitanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN THE MEMORY OF OUR BELOVED MUM ESTHER NYIMBO BADI

It is exactly one year today since the fateful Wednesday, 22nd February 2012 at 6.30 p.m when you left us without a word of "kwaheri". We continue to celebrate your life our beloved mother Esther...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BWANA JACOB MAKALA NA BI. DIANA JORGENSEN WAAMUA KUUAGA UKAPELA

Msanii wa muziki wa hip hop Tanzania mwenye makazi yake jiji Arusha, anayewakilisha kundi la watengwa Jacob Makalla a.k.a JCB Makala leo ameamua kufunga pingu za maisha na Bi. Diana Jorgensen ambaye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAHAMANI KWA PICHA ZA KUTISHA: MAJAGILI 3 YAUWAWA DODOMA

Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma David Misime akiongea katika mkutano na vyombo vya habari wakati akielezea tukio la kuuwawa kwa majangili hao.Habari/Picha na John Banda, DodomaMAJANGILI watatu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GLORIOUS WORSHIP TEAM KUADHIMISHA MIAKA 2 J'PILI HII ATRIUMS HOTEL

Mmoja wa kiongozi wa kundi la 'Glorious Worship Team akiongea jambo na Wandishi wa habari hawapo pichani.Kundi la 'Glorious Worship Team, wakiimba nyimboWASANII wa kundi la nyimbo za injili nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AKABIDHI VYETI KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA...

Mgeni rasmi katika mahafali ya 20 ya Kidato cha Sita ya Shule ya Sekondari St. Anthony Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akizungumza na uongozi wa shule hiyo kabla ya kuanza rasmi kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANENO OSWARD ATAMBA KUMCHAKAZA KASEBA MARCH 2

Mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba walipokutana kwa ajili ya kuzungumzia mpambano wao utakaofanyika March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam picha na...

View Article

NICE WEEKEND: CRAZY COMEDY NITE

Copyright 2007-2013 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA HAFLA YA KUCHANGIA WANAWAKE MATATIZO YA AFYA,ZAIDI...

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Montage (iliyoandaa hafla hiyo),Teddy Mapunda akimpa zawadi ya heshima Mgeni Rasmi,Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete mara baada ya kuifanikisha vyema tafrija hiyo maalum...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAWASHUKURU WANAHABARI KWA KUFANIKISHA KONGAMANO MKOANI MTWARA

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana na kupata chakula cha jioni kwenye ukumbi wa Makonde mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHANGE YOUR MINDSET; CHANGE YOUR LIFE WITHIN 2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEZI WA NAZI ZANZIBAR WAMUUA MWENYE SHAMBA

Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la PolisiMzee mmoja mkazi wa Kitopeni mkoa wa Kaskazini Unguja Zanzibar Bw. Ali Khamis Ali (65), ameuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali shingoni na watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTELI YA HYATT REGENCY KILIMANJARO YASHIRIKIANA NA GREEN WASTE PRO KUSAFISHA...

Picha juu na chini ni Wafanyakazi wa Hoteli ya Hyatt Regency wakishirikiana na Kampuni ya usafi ya Green Waste Pro kusafisha fukwe za Kivukoni Front jijini Dar zilizopo mbele ya hoteli hiyo ikiwa ni...

View Article
Browsing all 19632 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>