Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

NHIF YAWASHUKURU WANAHABARI KWA KUFANIKISHA KONGAMANO MKOANI MTWARA

$
0
0
12
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana na kupata chakula cha jioni kwenye ukumbi wa Makonde mjini Mtwara,baada ya kumalizika kwa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),lililomalizika jana kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani humo.
4Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu NHIF , Bw. Michael Mhando akifurahia jambo na Grace Michael Ofisa Masoko wa mfuko huo wakati wa hafla hiyo kulia ni ni Angela Mziray
5
7Steven Mhina kulia akiwa na Angel Akilimali kushoto wote kutoka Radio Uhuru.
8Wanahabari mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika hafla hiyo.
14 
Hawa jamaa walikonga nyoyo za wanahabari kwa vichekesho vyao.
15Gladness Mboma wa pili kutoka kulia na wanahabari wenzake wakiwa kaatika hafla hiyo.
16
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Moshi Chang'a akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba na kushoto ni Salome Manyama meneja wa tawi la NHIF makao makuu.
20Wanahabari wakacheza kwaito kama wanavyoonekana.
21Mchora Katuni King Kinya akitoa burudani jukwaani huku mpiga gitaa Yahya Mkango aliyewahi kufanya kazi na bendi ya African Stars ya jijini Dar es salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>