Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

TIGO YAKABIDHI ZAWADI WA DROO YA SMARTCARD

$
0
0
Kampuni ya Tigo leo imemkabidhi mshindi wa smartcard droo bw. Julius Raphael Kanza Tiketi ya kwenda Uhispania kushuhudia pambano la ligi ya uhispania La Liga kati ya Real Madrid na Fc Barcelona mwezi machi.

Makabidhiano hayo yalifanywa na meneja wa chapa Tigo bw.William Mpinga leo kwenye ofisi za Tigo, ikiwa ni usafiri wa kwenda na kurudi, malazi na chakula vyote bure.

Akizungumza bw. Kanza alisema hakutegemea kupata fursa hii ilikuwa ni kama ndoto, kwanza nilidhani ni utapeli kumbe si hivyo nawashukuru sana Tigo kwa kuniwezesha na nawashauri watumiaji waTigo wajiunge na huduma hii ya smartcard nao wabahatike.

Hizi ni droo za kila mwezi ambazo washindi wa zawadi tofauti kupatikana na droo kubwa ndio inamtoa mshindi wa mwaka.Meneja wa Tigo bw. William Mpinga akimkabidhi bw.Julius Raphael Kanza ambaye ni mshindi wa smartcard droo mfano wa tiketi ya kwenda kushuhudia pambano la ligi kuu uhispania kati ya Real Madrid na Fc Barcelona mwezi machi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>