Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

MAREHEMU PADRI EVARISTUS MUSHI KUZIKWA KESHO JUMATATO TAR. 20.2.2013 KATIKA ENEO LA KITOPE, KASKAZINI UNGUJA

$
0
0
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Mhashamu Augustino Shayo akizungumza na waandishi wa Habari
---
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar Mhashamu Augustino Shayo, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu taratibu za maziko ya Padri Mushi yamekamilika na anatarajiwa kuzikwa kesho katika eneo la Kitope Mkoa wa Kaskazini Unguja

Amesema Misa ya merehemu Padri Everistitus Mushi itafanyika katika Kanisa Katoliki Minara Miwili kauzia saa nne asubuhi katika kanisa hilo na kuhudhuriwa na waumini mbalimbali.

Pia leo jioni mnamo mida ya saa kumi ilifanyika Ibada ya kumuombea marehemu katika kanisa hilo.

Marehemu Everistitu Mushi ameuawa juzi na watu wasiojulikana katika maeneo ya jirani na Kanisa la Betras wakati akienda kuendesha ibada ya asubuhi kanisani hapo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

Trending Articles