Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

WAFUASI WA SHEIKH PONDA WADHIBITIWA WASIINGIE MAHAKAMANI

$
0
0
 Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Waislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda (katikati) akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkali ya uchochezi na wizi wa malighafi zenye thamani ya Sh.milioni 59 inayomkabili Katibu huyo na wenzake 49 ilipoanza kusikilizwa jana. (Picha zote na Dande JR)
Ulinzi iliimarishwa katika kila kona ya Mahakama ya Kisutu leo
Mfuasi wa Sheikh Ponda Issa Ponda akijitetea mbele ya Askari wa Kutuliza Ghasia (FFU) baada ya kutolewa amri ya kuondoka  katika eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Sheikh huyo ilipoanza kusikilizwa jana.
Kuimarisha ulinzi Mahakamani
Tunataka haki yetu, huyu mama alikuwa akiwaambia askari.
Mfuasi wa Ponda akidhibitiwa na askari
Wafuasi wa Ponda chini
Wafuasi wa Ponda.
 Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwa wameimarisha ulinzi katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi inayomkabili Shikh Ponda Issa Ponda ilipofikishwa Mahakamani jana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19632

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>