MAISHA YA 'GETO' CHANGAMOTO KWA WANAFUNZI SEKONDARI ZA KATA TANGA
UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za sekondari hali ambayo ilifanya wanafunzi wachache...
View ArticleMACHINJIO YA KUKU SOKO LA MANYANYA NI UCHAFU MTUPU
Kijana akiendelea na kazi yake ya unyonyoaji wa kuku.Kuku wakisubiri kunyonyolewa.Muonekano wa ndani ya soko.Eneo la ovyo lililohifadhiwa kuku.Ndoo mbovu ndizo hutumika katika kuchotea maji.Vijana...
View ArticleTIGO YADHAMINI WAFANYABIASHARA WA KARIAKOO KUUZA BIDHAA COCO BEACH KILA MWEZI
Meneja Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo kuhusu udhamini wa gulio la wafanyabiashara kutoka Kariakoo liitwalo 'Kariakoo at...
View ArticleOXFAM YAZINDUA MKAKATI WA KUPUNGUZA ATHARI ZA TABIA NCHI KWA WAKULIMA
Kutoka Kushoto ni Economic Justice Campaign wa OXFAM, Marc Wegerif, Afisa wa Miradi, Bw. Fazal Issa na Meneja wa Ushawishi, Bi. Eluka Kibona.Economic Justice Campaign Manager kutoka OXFAM, Bw. Marc...
View ArticleMAHOJIANO YA MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA RENE MEZA NA MTANGAZAJI...
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleCHUO CHA VETA CHATAMBULISHA MRADI WA USHIRIKIANO KATI YAKE NA UJERUMANI...
Meneja Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon akizungumzia juu ya mradi ambao German wameshirikiana na Chuo cha VETA nchini katika kuhakikisha wanaboresha maswala ya...
View ArticleAFRICAN BARRICK GOLD MINING WADHAMINI TIBA YA UPASUAJI BURE KWA KICHWA,...
Daktari Bingwa wa Ubongo, Mgongo na mishipa ya fahamu Dr. Othman W. Kiloloma kutoka hospitali ya Muhimbili amesema kuwa timu ya madaktari saba imewasili kutoka Muhimbili ikiwa na daktari bingwa 1 wa...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AENDELEA KUUNGURUMA KUSAKA KURA KIJIJI CHA MAKOMBE KATA YA...
Mgombea Ubunge jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akimsikiliza mwanafunzi Asha Masoud wa shule ya msingi ya kijiji cha Makombe kata ya Lugoba. wakati alipofanya mkutano wa kampeni...
View ArticleMAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja la...
View ArticleUZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA...
Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili...
View ArticleMRADI WA TIER 1 KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA
Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Tanzania Bw Edward Sungura (Kaunda Nyeusi) akimkabidhi Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Bw Julian Raphael, vifaa...
View ArticleWAZIRI NYALANDU AMFUKUZA KAZI MKURUGENZI WA BODI YA UTALII, DKT. ALOYCE NZUKI
Wizara ya maliasili na Utalii imemfuta kazi mkurugenzi wa bodi ya utalii Tanzania dokta Aloyce Nzuki kwa kutokuwa na imani nae pamoja na utendaji usioridhisha.Hii imekuja baada ya kikao cha pamoja kati...
View ArticleLAANA SIO LAZIMA ITOKE KWA WAZAZI, HATA KWENYE MIOYO YA ULIOWAUMIZA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS KENYATTA AHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI, ARUSHA TANZANIA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA...
Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha...
View ArticleSERIKALI YA TANZANIA NA JAMHURI YA WATU WA CHINA ZINAJIVUNIA KUADHIMISHA...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. John Haule akielezea mafanikio mbalimbali ambayo Serikali ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China zinajivunia kuyapata katika miaka...
View ArticleRAIS KIKWETE AWATAKA VIONGOZI MKOANI TANGA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE
Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa...
View ArticleJUMLA YA SHILINGI MIL. 500 KUTUMIKA MASHNDANO YA MISS TANZANIA 2014
Meneja wa kinywaji cha Redd’s Origina Victoria kimaro katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa viongozi wa kamati ya Miss Tanzania katika siku ya kufunga semina ya mawakala wa shindano la...
View Article