Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIKA (TIBA KWA KADI) KATIKA HALMASHAURI YA MJI KOROGWE

$
0
0
Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni mgeni rasmi aliyekaribishwa kufungua kikao hicho, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia). Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji wa Korogwe, Jerry Mwakanyamale (Kulia) akiongea wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna (Katikati) katika ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Pembeni ni Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto). Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna (katikati) akifungua kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili mchakato wa kubadirisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika mfumo wa afya ya Jamii mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Pembeni kushoto ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale na Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto). Kikao hicho cha kwanza kilifanyika leo Machi 25, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
 Wajumbe wa Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Tanga (CHMT) wakifuatilia kwa makini. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

 Mwenyekiti wa Kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri ya Korogwe, Tanga (CHMT), Bw. Salim Bori (Kushoto) akijadili jambo wakati wa kikao cha majadiliano. Pembeni ni Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Rabeca Balisidya (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia). Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya, Singida Bw. Issaya Shekifu akiwapa uzoefu jinsi wao walivyofanikiwa kwenye mchakato wa kubadilisha sheria ndogo ya CHF kwenda kwenye TIKA na Jinsi CHF inavyofanya vizuri wilayani Iramba kwa kauli mbiu ya "Kuku mmoja CHF na matibabu mwaka mzima. Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya, Singida Bw. Issaya Shekifu akijadiliana jambo na Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Rabeca Balisidya (katikati) na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia). 
Mwanasheria wa Halmashauri ya Mji Korogwe, Rabeca Balisidya (katikati) akijadiliana jambo na Mganga Mkuu wa Halmashauri ya mji Korogwe, Jerry Mwakanyamale (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>