Kutoka Kushoto ni Economic Justice Campaign wa OXFAM, Marc Wegerif, Afisa wa Miradi, Bw. Fazal Issa na Meneja wa Ushawishi, Bi. Eluka Kibona.
Economic Justice Campaign Manager kutoka OXFAM, Bw. Marc Wegerif akizungumzia juu za ya haki za wanawake katika kumiliki Ardhi na kuitumia ipasavyo kuzalisha Chakula , pamoja na umuhimu wa Bima ya Mazao
Afisa Miradi kutoka OXFAM, Bw. Fazal Issa akizungumzia juu ya Magonjwa ya mazao pamoja na upatikanaji wa chakula ili kuweza kupunguza maswala ya njaa ambayo ni Tatizo kwa Jamii.
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa wanafuatilia kwa makini kikao hicho