ZAIDI YA DOLLAR LAKI MOJA ZATOLEWA KWA MAKAMPUNI MANNE YA KITANZANIA...
Zaidi ya dollar laki moja zimetolewa kwa makampuni manne ya kitanzania kwa kuendeleza miradi ya kupeleka umeme vijijini.Pesa hizo zimetolewa baada ya kufanyika kwa mashindano mashindano katika kampuni...
View ArticleSHAMRA SHAMRA ZA KUITABULISHA NANI MTANI JEMBE KWA MASHABIKI MITAA YA JIJI LA...
Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakicheza muziki katika eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam jana wakati wa shamrashamra za kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki wa...
View ArticleMISS TANZANIA 2014 KUJULIKANA JUMAMOSI HII MLIMANI CITY, DAR
Meneja wa Kinywaji cha Redd's ambao ni Wadhamini Wakuu wa Mashindano ya Miss Tanzania,Victoria Kimaro (kushoto) akizungumzia zawadi watakayotoa kwa Washindi watakaopatikana kwenye Shindano hilo la...
View ArticleYAMOTO BENDI YAENDELEA KUWA MOTO JIJINI DAR
Wanamuziki wa bendi ya Yamoto wakiwasha moto ndani ya kiwanja cha maraha cha Escape 1 jijini Dar es Salaam Oktoba 5, 2014 Ilikuwa ni shoo ambayo ilipata wapenzi wengi. Nyomi la watu waliohudhuria....
View ArticleBENKI YA DUNIA NA IMF YAANZA MIKUTANO YA MWAKA MJINI WASHINGTON DC - MAREKANI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Bw.Herve’ Joly ambaye ni Mkurugenzi msaidizi na Mkuu wa idara ya Afrika sehemu ya Mashariki. Mara...
View ArticleRAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RASIMU YA MWISHO YA KATIBA...
Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya...
View ArticleSHORT COURSE ANNOUNCEMENT: PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS
Protocol and Public RelationsCopyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleUBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON, DC WAMKARIBISHA BALOZI OMBENI SEFUE KWA...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwasili kwenye Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Washington, DC nchini Marekani alikokaribishwa chakula cha jioni wakiwemo viongozi mbalimbali wa...
View ArticleDHL EXPRESS CERTIFIED AS TOP EMPLOYER 2015 IN AFRICA
*Independent research by the Top Employers Institute shows the company looks after its people exceptionally well(Photo Charles Brewer: Charles Brewer, Managing Director for DHL Express Sub-Saharan...
View ArticleUZINDUZI WA NAMBA YA DILI KWA WASANII KUPITIA AIRTEL TRACE MUSIC STARS
Meneja uhusiano wa airtel Jackson Mmbando akizindua na kutangaza rasmi namba itakayowawezesha watanzania kushiriki mashindano ya kusaka vipaji ya muziki ya airtel trace music star kwa kukerekodi na...
View ArticleJESHI LA POLISI LAWATIMUA KAZI TRAFIKI WALIOPIGA PICHA WAKIPIGANA BUSU, KAGERA
Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewafukuza kazi askari polisi watatu kwa kosa la kukosa maadili mema ya jeshi la Polisi.Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani hapa Henry Mwaibambe, amewataja askari hiyo...
View ArticleMWISHO UREJESHAJI FOMU SHINDANO LA MASHUJAA WA KESHO NI LEO OKTOBA 10, 2014
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki.WAKATI siku...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU WA UGANDA
Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala. Rais...
View ArticleMBUNGE WA KAWE, HALIMA MDEE AACHIWA KWA DHAMANA MAHAKAMA YA KISUTU, DAR
Mwenyekiti wa baraza la wanawake chadema Halima Mdee wakimfariji wanachama wenzake mara baada ya kupata dhamani na kutolewa jijini Dar.Mwenyekiti wa baraza la wanawake taifa Halima Mdee akiwa katika...
View ArticleMAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu akihutubia katika uzinduzi huo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick...
View ArticleINSTAGRAM PARTY YAWAKUNA WAKAZI WA MWANZA
Siku ya Tarehe 4 Mwezi wa 10 mwaka 2014 haitakaa isahaulike kwa wakazi wa Mwanza na Vitongoji vyake... Hii ni siku pekee ambayo Mwanza nzima ilihamia JEMBE BEACH almaarufu kama JEMBE NI JEMBE ambako...
View ArticleMKUTANO WA KUNDI NAMBA 1 LA NCHI ZA AFRIKA- BENKI YA DUNIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatilia kwa makini mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia ambao umefanyika leo hapa mjini...
View Article