KATIBA ILIYOPENDEKEZWA KUKABIDHIWA OKTOBA 08, 2014 KATIKA UWANJA WA JAMHURI,...
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt, Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleRAIS JK AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleMWANADADA SOPHIA NYAGASHA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA JIJINI DAR
Mwishoni mwa wiki iliyopita ilikuwa ni sherehe ya kuazimisha siku ya kuzaliwa Oktoba 4, 2014 kwa mwanadada Sophia Nyagasha ambaye ni mfanyakazi wa Airtel Tanzania (Kulia mwenye nguo nyeupe) ambapo...
View ArticleASKARI WA USALAMA BARABARANI (TRAFIKI) WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA
Mratibu wa Usalama afya na mazingira mahali pa kazi wa Kiwanda cha Bia nchini TBL Arusha Heavy Kassena akiwaonyesha baadhi ya maeneo na shughuli zinazofanywa kiwandani hapo askari wa kikosi cha...
View ArticleFURSA ZA AJIRA KUTOKA MeTL GROUP
Advocates vacancy Internet.pdf by moblogJnr Sales - Swahili.pdf by moblogSnr Sales.pdf by moblogTechnical Psns.pdf by moblogCopyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleUNESCO YAAHIDI KUVIENDELEZA VYOMBO VYA HABARI JAMII KUKUZA DEMOKRASIA
Mwalikishi wa Shirika la Kimataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ambaye pia ni mshauri na mkufunzi wa redio jamii, Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO...
View ArticleICC TAYARI KWA MKUTANO NA KENYATTA
Kenyatta amemkabidhi mamlaka kwa muda naibu wake William Ruto kwa siku mbili atakazokuwa nje.Rais Kenyatta akikagua gwaride la heshima kabla ya kuondoka nchini kuelekea HagueRuto ambaye ni rais kwa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO MSIBA WA PROFESSA KIVASI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Professa Rogath...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Meneja wa tamasha la Karibu Music...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY HON. JAKAYA KIKWETE
Leo ni siku ya kuzaliwa Rais Jakaya Kikwete, ambapo alizaliwa Oktoba 7, 1950. Kajunason Blog inapenda kutuma salamu za pongezi kwako, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefi... udumu milele.Copyright...
View ArticleMSIINGIZE DINI KATIKA SIASA, RAIS AWAAMBIA MABALOZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi wa dini alipowasili katika hoteli ya White Sands jijini Dar es salaam kufungua Mkutano wa viongozi wa dini kubwa za Kikiristo na Kiislam nchini kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI, MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NSSF...
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akizungumza na Uongozi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakati alipotembelea ujenzi wa Daraja la Kigamboni,jijini Dar es Salaam leo.Rais Dkt....
View ArticleTUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24
SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya...
View ArticleFNB YAKABIDHI MADARASA BAADA YA KUFANYIA UKARABATI NA MADAWATI NA MIKOBA YA...
Mkuu wa Idara ya ukaguzi wa Mahesabu FNB Baraka Thomas (kushoto) akikata utepe kwa ajili ya kumkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msasani B, Bw.Victor Kamuli madarasa baada ya kufanyiwa...
View ArticleUHURU MARATHON YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu katibu mkuu wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo Profesa Elisante Ole Gabriel katikati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwenye Uzinduzi wa Uhuru Marathon 2014...
View ArticleWAKALA WA UKAGUZI WA MADINI TANZANIA (TMAA) IMEIWEZESHA SERIKALI KUKUSANYA...
Mkemia Alfred Aloyce kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) sampuli ya jiwe la dhahabu iliyotayarishwa kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kimaabara...
View ArticleMBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE AKOSA DHAMANA, ALALA SEGEREA, DAR
Mbunge wa Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) Halima Mdee, akipanda gari la Polisi tayari kuelekea Mahabusu Segeea jana baada ya kukosa dhamana katika Mahakama ya Hakim Mkazi...
View ArticleTAFRIJA YA MIAKA 24 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA UJERUMANI YAFANA JIJINI DAR
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya...
View ArticleNAMBA MPYA ZA PIKI PIKI ZAANZA KUTUMIKA RASMI TANZANIA
Hivi karibuni serikali ilitangaza zoezi la kuanza kubadilisha namba za piki piki zote zinazotumiwa kibiashara/binafsi Oktoba 1, 2014 ambapo kwa sasa wananchi wanatakiwa kwenda na kadi halisi ya piki...
View Article