Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda akiwakaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Salva Kiir wa Sudani ya kusini kuhudhuria shrehe za Uhuru wa Uganda zilizofanyika huko kololo Kampala. ![]()

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa entebbe Uganda kuhudhuria sherehe za miaka 52 za uhuru wa Uganda. Picha na Freddy Maro