Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

MAADHIMISHO YA SIKU YA POSTA DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

$
0
0
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu akihutubia katika uzinduzi huo. 
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwalimu  Lucy Mshomi wa Shule ya Wasichana ya Kifungiro kutokana na mchango mkubwa kwa wanafunzi wao. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mwalimu Josephine Mashare wa Shule ya Wasichana ya ST' Marys ya Mazinde Juu kutokana na mchango mkubwa kwa wanafunzi wao.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanafunzi mshindi wa kwanza kitaifa wa kuandika barua, Glory Mduma kutoka Shule ya Sekondari ya ST, Marys Mazinde Juu mkoani Tanga. Kulia  ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi Mshindi wa tatu wa shindano hilo, Khadija Rashid wa Shule ya Sekondari ya  ST, Marys Mazinde Juu. Kulia  ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Posta, Deus Mndeme.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano,  Sayansi na Teknolojia, Profesa Patrick Makungu (kushoto), akimkabidhi zawadi mwanafunzi mshindi wa pili kitaifa wa kuandika barua , Ndehovye Nyindo  wa Shule ya Wasichana ya Lufungiro iliyopo mkoani humo. 

Wanafunzi, Wazazi na wageni waalikwa wakiwa 
kwenye hafla hiyo.
---
Habari na Hellen Kwavava wa Kajunason Blog, Dar
 Picha zote na Dotto Mwaibale.

Wizara ya Mawasiliano, sayansi na Teknolojia imeanzisha mchakato wa uhuishajiwa sera ya Taifa ya posta ilikupata sera mpya itakayohusisha mazingira mapya ya utoaji wa huduma za posta, ushindani na maendeleo ya Teknolojia.

Hatua hiyo imefikiwa ili baada ya mabadiliko ya mazingira ya mawasiliano kwa njia za kielekroniki ambapo ushinda ni uliopo baina uya wasafirishaji wa haraka wa barua, nyaraka, vipeto na vifurushi umeleta changamoto katika ut oaji wa huduma za posta kwa umma.

Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa wizara ya mawasiliano, sayansi na teknolojia Proffesa Patrick Makungu wakati akifungua warsha ya siku ya posta Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam sambamba na kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la kimataifa la uandishi wa barua ulishirikisha shule za sekondari nchini.

Naye Posta MastaMkuu wa Shirika la posta nchini Deus Mndeme amesema kwamba kwasasa wanajivunia uhai wa shirika hilo kwa nilimeanzishwa miaka mingi iliyopita lakini bado lipo na linaendelea kutoa huduma kwa jamii kwa ufasaha.

Aidha Mshindi wa kwanza wa shindano hilo Gloria Mduma kutoka shule ya sekondari St Marys Mazinde juu Lushoto amesema kwamba uandishi wa barua bado unaumuhimu sana kwani unakuza sanaa ya uandishi.

Maadhimisho ya siku ya posta Duniani huadhimishwa kila mwaka na kauli mbiu ya mwaka huu ni“ Posta inachukua nafasi yake katika mageuzi ya sekta ya mawasiliano”.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>