MABINGWA WA LIGI KUU SIMBA SC WAPOKELEWA KWA KISHINDO BUNGENI JIJINI DODOMA
Sehemu ya wachezaji wa timu ya Simba Sports Club wakifuatilia mjadala wa kipindi cha maswali na majibu wakati mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzaniana Bara 2018 walipotembelea Bungeni leo Jijini Dodoma kwa...
View ArticleWAZIRI UMMY AZINDUA MASHINDANO YA BANDA CUP AMWAGA VIFAA VYA MICHEZO
 Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu (CCM) mkoa wa Tanga Ummy Mwalimu akizungumza wakati akifungua mashindano ya Vijana ya Banda Cup kwenye...
View ArticleWAZIRI MHAGAMA KUZIFUTIA USAJILI KAMPUNI 9 ZA WAKALA WA HUDUMA ZA AJIRA NCHINI
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu ,Sera ,bunge ,kazi vijana ajira na wenye ulemavu Jenista Mhagama amemuagiza kamishana mku wa kazi nchini kuzifutia usajiri kampuni tisa za wakara binafs wa ajira kwa...
View ArticleDC SHINYANGA AFUNGUA WARSHA YA MASUALA YA JINSIA KWA WALIMU ILIYOANDALIWA NA...
Mheshimiwa Josephine Matiro akizungumza wakati wa warsha hiyo.Kushoto ni Mratibu wa Masuala ya Jinsia katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Shinyanga,Getrude Pastory Massawe ambaye pia Afisa...
View ArticleWAZIRI KIGWANGALLA AMTEUA MISS JOURNALISM TANZANIA 2018 KUWA BALOZI WA UTALII...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) ambaye pia ni mshindi wa mwaka jana wa mataji manne ya Uanamitindo nchini...
View ArticleMFANYABIASHARA ALIYEFICHA MAFUTA YA KUPIKIA AKAMATWA RUVUMA
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa mkoa wa Ruvuma CHRISTINA MNDEME amefanya ziara ya kushtukiza katika maghara ya kuhifadhia bidhaa ikiwemo mafuta ya kupikia na kukuta shehena ya mafuta hayo yakiwa...
View ArticleRAIS WA ZIMBABWE MHE. MNANGAGWA AIMWAGIA SIFA TANZANIA
RAIS wa Zimbabwe, Mhe Emmerson Dambudzo Mnangagwa (mwenye skafu) akiwa na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI) wa CCM, Comrade Ngemela Eslom Lubinga (katikati mwenye miwani) pamoja na...
View ArticleMAGAZETINI LEO MAY 15, 2018; JWTZ YATAKIWA ISAIDIE POLISI KIINTELIJENSIA ......
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleCAREER DAY 2018: CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI CHAWAKUTANISHA WAHITIMU NA...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akizungumza wakati wa tukio la Career Day alipoalikwa kuwa mgeni rasmi ,tukio hilo limefanyika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MOCU) Baadhi ya Wananfunzi wa...
View ArticleMSANII DIAMOND AZINDUA WIMBO WA COLOURS KWA AJILI YA KOMBE LA DUNIA 2018...
Msanii Diamond akipagawisha mashabiki wa Soka waliohudhuria katika Uzinduzi wa wimbo wa Colours maalum kwa ajili ya kombe la dunia 2018 linalofanyika nchini Urusi.Mkurugenzi wa Coca-Cola Kwanza, Basil...
View ArticleHERI YA MAADHIMISHO YA MWAKA MMOJA WA SPORTPESA
Kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa siku ya Jumatano ya Mei 9, imetimiza mwaka mmoja tangu ilipoanza uendeshaji wa shughuli zake za kibiashara nchini.SportPesa ambayo imeanzia nchini Kenya...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA BANDARINI KUMALIZA UTATA WA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo amefanya ziara ya kushtukiza bandarini jijini Dar es salaam kukagua matanki ya mafuta ya kula, ambayo yameadimika hapa nchini.Baada...
View ArticleBUNGENI LEO MAY 15, 2018 JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akijibu miongozo mbalimbali ya wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim...
View ArticleWAMACHINGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA KUJISAJILI NA KUPATIWA VITAMBULISHO...
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mhe. Fabian Daqqaro (wa tatu kulia) akiwa ameketi meza kuu wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa usajili na utoaji wa vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo walio...
View ArticleRAIS WA TFF WAMUOMBA RAIS DKT. MAGUFULI WAMKABIDHI KOMBE LA CECAFA
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kukabidhiwa kombe la CECAFA na vijana wa chini wa...
View ArticleMAMIA WAJINYAKULIA SIMU JANJA KUTOKA TIGO
Meneja Masoko wa Tigo, Mkoa wa Tanga Lilian Mwalongo (kulia) akimkabidhi Jeremiah Mwamlenga (kushoto) zawadi ya simu janja yenye uwezo wa 4G aina ya Tecno R6 baada ya kuibuka kama moja wa washindi wa...
View ArticleWAZIRI JAFO ATOA RAI KWA VIONGOZI WA MKOA WA SINGIDA KUCHUKUA HATUA KUBORESHA...
Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za Mkoani Singida wakiwa kwenye maadamano ya maadhimisho ya juma la elimu Kitaifa yaliyozinduliwa wilayani Mkalama, Mkoa wa Singida.Vingozi wa Mtandao wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS APOKEA VIFAA VYA UPASUAJI KUTOKA UBALOZI WA KUWAIT
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati wa hafla ya...
View ArticleMFANYA BIASHARA MKOANI RUVUMA AJIKUTA MKONONI MWA POLISI BAADA YA KUHIFADHI...
Wafanyabiashara Watatu katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,Wanashikiliwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma za kutunza bidhaa katika maghala yasiyotambulika na serikali, huku mwingine akihifadhi bidhaa...
View ArticleDC SHINYANGA AZINDUA RASMI ZOEZI LA KUGAWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANANCHI
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga mheshimiwa Josephine Matiro akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa zoezi la kugawa vitambulisho vya taifa (NIDA) kwa wananchi wa halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga....
View Article