MICHUANO YA KURUGENZI CUP YAENDELEA KURINDIMA MJINI HAYDOM MKOANI MANYARA
Waamuzi wa mashindano ya Kurugenzi CUP 2018 iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Hudson Kamoga wakishuhudia manahodha wa timu ya Makulusa FC Regi...
View ArticleKAMPENI YA UJENZI OFISI ZA WALIMU DAR YAFIKIA PAZURI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akitembelea baadhi ya ofisi za walimu zilizojengwa.…Akizungumza jambo.KAMPENI ya Ujenzi wa ofisi 402 za walimu wa Mkoa wa Dar es salaam imezidi kupamba moto...
View ArticleBUNGENI LEO MAY 17, 2018 JIJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha thelathini na moja cha mkutano wa kumi na moja cha Bunge hilo leo Jijini Dodoma.Naibu Waziri wa Mambo ya...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA AFYA AZINDUA PROGRAMU YA 'UNI LIFE CAMPUS' MUHAS
Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Dkt. Faustine Ndugulile, Naibu Waziri Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Uni Life Campus Program kwenye Chuo Kikuu...
View ArticleFANYA HAYA KUFANIKISHA MFUNGO WA RAMADHANI
Na Jumia Travel Tanzania.Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani umekaribia ambapo Waislamu wote nchini na duniani wanatarajiwa kuanza kufunga. Mwezi huu muhimu kiimani huchukuliwa kama kipindi cha toba...
View ArticleWAZIRI MPINA ABAINI UPOTEVU WA BILIONI 263 UTOROSHAJI MIFUGO NJE YA NCHI
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga joelson kulia akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Longido Daniel Chongolo wakiwa kwenye bango la uzinduzi wa Operesheni Zagamba 2018. Operesheni hiyo ni maalum kwa ajili ya...
View ArticleWAZIRI DKT. MWAKYEMBE AZINDUA COPA UMISSETA MJINI BUKOBA
 Waziri Dkt. Mwakyembe akigawa vifaa vilivyotolewa na Coca-Cola kwa moja ya mwakilishi wa mmoja wa shule za sekondari. Waziri Dkt. Mwakyembe akikagua moja ya timu wakati wa hafla ya uzinduzi. Wadau wa...
View ArticleRAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KITUO CHA UWEKEZAJI CHA JWTZ NA VIWANDA VYA MAJI NA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi Jenerali...
View ArticleMAPACHA WALIOUNGANA WARUHUSIWA KUTOKA MNH
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akizungumza na Maria na Consolata leo kabla ya kuanza safari ya kwenda Iringa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Tiba...
View ArticlePENTECOSTAL REVIVAL WEEKEND WITH REV. DR HURUMA NKONE MAY 18-20, 2018 MBEZI...
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKURUGENZI CUP 2018; REMA 1000 FC YAIBUKA KIDEDEA KWA LAMBO FC KWA KUICHABANGA...
Mchezaji Godfrey Ernest wa timu ya Rema 1000 FC ya Haydom Manyara akimtoka mchezaji wa timu ya Rambo FC pia ya Haydom katika mchezo wao uliofanyika leo kwenye uwanja wa shule ya Msingi Haydom katika...
View ArticleMSANII LULU ATOA YA MOYONI BAADA YA KUTOKA GEREZANI
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleHARBINDER SINGH SETH BADO NI MKURUGENZI WA KAMPUNI YA PAP/IPTL
Na Mwandishi WetuMkurugenzi na Mmilikiwa kampuni ya PAP/IPTL ,Harbinder Sing Sethi Amekanusha taarifa zinazosambzwa mitandao kuwa amefutwa kuwa Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo.Hayo...
View ArticleWAZIRI MPINA AJA NA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI
WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina, akiwasilisha mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2018/2019 bungeni jijini Dodoma jana. Picha na John Mapepele *Viwanda vya nyama...
View ArticleMKAZI WA NEWALA,SHAKILA AMRI ASHINDA MILIONI 140 SIKU YA MAMA DUNIANIA
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa TatuMzuka, Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari (hawapo pichani) mapema jana jijini Dar,wakati wa kumtambulisha mshindi Shakila Amri Nyani...
View ArticleDKT. MWAKYEMBE AWATAKA VIJANA KUIGA MFANO WA FLAVIANA MATATA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katika) akieleza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo katika picha) wakati wa mkutano leo Jijini Dodoma, kulia ni Naibu Waziri...
View ArticleMAGAZETINI LEO MAY 18, 2018; JPM ATOA SIKU 30 MABILIONI YA JWTZ ... NAPE...
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleBALOZI DKT. ABDALLAH SALEH POSSI AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA BABA...
Balozi Dkt. Possi akikabidhi hati za utambulisho kama Balozi wa Tanzania Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis. Balozi Dkt. Possi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Vatican Kardinali Pietro Parolin....
View ArticleMKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AZINDUA KAMATI YA MAAFA YA MKOA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Mwenyekiti wa kamati ya Maafa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa kamati ya Maafa ya mkoa wa Kilimanjaro, uzinduzi uliofanyika katika...
View ArticleWATUMISHI WAKUMBUSHWA UMUHIMU WA KUISHAURI MENEJIMENTI
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZOWatumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wamekumbushwa umuhimu wa kuishauri Mamlaka yao ili iweze kufanya vizuri zaidi katika shughuli zake.Kaimu Katibu...
View Article