Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19865 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AINA 14 ZA WANAWAKE KERO KWA WANAUME

Kuna nyakati unaweza ukawa unalalamika kwanini hauolewi, au ukimpata mwanaume anakuacha, au ndoa yako inateteleka, kumbe tatizo ni tabia zako ndizo zinakukosesha baraka zako.Zifuatazo ni aina za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAELFU YA WATEJA WA TIGO WAJISHINDIA SIMU JANJA KATIKA PROMOSHENI YA NYAKA...

 Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi simu janja aina ya TECNO R6 4G kwa Sakina Kassanga, askari polisi kutoka Dar es Salaam aliyeibuka kama mojawapo ya washindi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALI YA UPATIKANAJI WA DAWA MKOANI MBEYA NI ASILIMIA 91.5

Ofisa Mauzo wa Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Mbeya, Rhoda Joseph (kushoto) na Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya cha Ilembo, Sk.Bwire Biseko (kulia), wakihesabu dawa wakati wa makabidhiano yaliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KURUGENZI CUP 2018: DONGOBESH FC YAICHAPA STAND FC YA HAYDOM GOLI 1-0 NA...

Mchezaji wa timu ya Dongobesh FC Antipas Vicent akiwa amebebwa juu juu na mchezaji mwenzake mara baada ya kumalizika kwa mchezo katika yake na timu ya Stand FC ya Mjini Haydom ambapo mchezaji huyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CRDB BANK WALIVYOSHIRIKI NA KUTOA HUDUMA KWENYE MAONESHO YA WAJASIRIAMALI WA...

Meneja Biashara wa CRDB Bank, Tawi la Vijana, Zaituni Manora, akitoa sera za benki hiyo kwa wajasiriamali wa Manispaa ya Ilala, wakati wa ufunguzi wa maonesho yao, yaliyofunguliwa na Mkuu wa Wilaya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI NA MALIASILI WATEMBELEA MRADI WA...

 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionyesha Faili lenye viambatanisho vya hati moja katika chumba cha  kubadilisha hati za kawaida kwenda Dijitali kinachosimamiwa na mradi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHINA YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA BILIONI 146, KUJENGA CHUO KIKUU CHA TAIFA...

Na Benny Mwaipaja, WFM-Dar es SalaamSerikali ya Tanzania imetiliana saini na Serikali ya China mkataba wa msaada wa kiasi cha Shilingi Bilioni 146.47. Mkataba huo umesainiwa na Katibu Mkuu Wizara ya...

View Article

MBUNGE BULEMBO ALIA NA MANYANYASO YA WATANZANIA HASA WAVUVI

Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA KUDUMU BUNGE YA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI YATEMBELEA MRADI WA...

 Waziri wa ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, akizungumza na Wananchi wa kata ya Kilungule mara alipofanya ziara na Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi na Maliasili kujionea namna mradi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YASAINI MKATABA WA KUWAKOPESHA WATUMISHI WA UMMA MITUNGI YA GESI NA...

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS),Profesa Dos Santos Silayo (kushoto) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mihan Gas,Hamisi Ramadhan (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMSTEL YANOGESHA FAINALI ZA UEFA UEROPA LEAGUE 2017/18

Baadhi ya washabiki wakifuatilia finali za ligi ya vilabu barani Ulaya (Uefa Europa League)Liquid Bar iliyopo Kurasani. Atletico Madrid walifanikwa kuwafunga Marsaille 3- 0 na kuibuka na ushindi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC LUSHOTO AWATAKA MADIWANI KUKAGUA MIRADI INAYOTEKELEZWA KWENYE MAENEO YAO

MKUU wa wilaya ya Lushoto January Lugangika akizungumza katika kikao cha Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Bumbuli ambacho kwa mara ya kwanza kilifanyika eneo la makao makuu ya Kwehangara....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KURUGENZI CUP 2018: REMA FC YAIPUNYUA AIRPORT FC MAGOLI 8-4 NA KUTINGA...

Aziz Rashid wa timu ya Rema 1000 FC ya Haydom wilayani Mbulu akimiliki mpira huku Elihuruma Daniel wa timu ya Airport FC akijaribu kunyanga'anya wakati wa mchezo wao wa nusu Fainali ya Michuano ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA MAKOMBE YA UBINGWA WA CECAFA WA SERENGETI BOYS NA...

 Mwali Hekaheka langoni pa Kagera Sugar Goli lililoiua Simba Goli lililoiua Simba Goli lililoiua Simba Viongozi wa Kagera Sugar wakiwa na Mkurugenzi wa wadhamini Vodacom na Mwenyekiti wa BMT Mashabiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA JUMA LA ELIMU KITAIFA WILAYANI MKALAMA, MKOA WA SINGIDA

Mkuu wa Mkoa wa Singida. Dk Rehema Nchimbi  akizungumza na wadau wa elimu, walimu pamoja na wanafunzi wakati wa  kufunga maadhimisho ya Juma la Elimu kitaifa iliyofanyika katika wilaya ya Mkalama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

QNET YATOA FARAJA KWA JAMII ZISIZOJIWEZA KATIKA NCHI 13 ZA KIAFRIKA

Mwakilishi wa kampuni ya QNET Tanzania Andrew Gerald akikabidhi msaada wa vyakula wenye thamani ya 9mil/- kwa Mlezi wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalum cha Maunga kilichopo Kinondoni Hananasif...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA APOKEA VIFAA VYA THAMANI MILIONI 400/- KWA AJILI YA UJENZI WA OFISI...

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa vifaa mablimbali kwa ajili ujenzi wa ofisi za Walimu na kiwanda cha MIN Steel vyenye thamani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE,...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KITUO CHA AFYA CHA INYALA MKOANI MBEYA KUKAMILIKA...

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Kituo cha cha Afya cha Inyala, Alvin Mutiganzi (kushoto), akitoa maelekezo ya ujenzi wa jengo la kuhifadhia maiti kwa maofisa wa Bohari ya Dawa (MSD) na waandishi wa habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC ROSEMARY SENYAMULE AMTAKA MKANDARASI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI MEI 30...

Mkuu wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Rosemary Senyamule akikagua mradi wa maji katika wilaya ya Same Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule akitoa maagizo ya kutaka mradi wa maji Hedaru...

View Article
Browsing all 19865 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>