Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19866

RAIS DKT. MAGUFULI ASALI IBADA YA JUMAPILI DOMINIKA YA SHEREHE YA PENTEKOSTE, KANISA LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY JIJINI DAR

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Mei 20, 2018.
Paroko msaidizi wa parokia ya Osterrbay Padre Asis Mendokta akiongoza ibada ambayo pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amehudhuria Ibada hiyo ya Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa Amani na wanafunzi waumini alijumuika na waumini wengine kusali Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Paroko msaidizi Padre Asis Mendokta mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili Dominika ya sherehe ya Pentekoste liyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19866

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>