COASTAL UNION YAMKABIDHI TUZO YA HESHIMA WAZIRI UMMY MWALIMU KWA KUISAIDIA...
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CCM) kushoto akipokea tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake kwa kuipandisha...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA: RAZACK HAMADI SI MFANYAKAZI WA KAMPUNI YA AGGREY & CLIFFORD
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMWILI WA MWANDISHI WA HABARI CASIAN NYANDINDI UMEAGWA LEO MEI 11, 2018
Mwili wa Mwandishi wa Habari wa gazeti la Majira wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma pia ambaye alikuwa mmiliki wa blog ya nyandindi2006.blogspot.com Casian Nyandindi, umeagwa leo katika hospital ya rufaa...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA: UTARATIBU MPYA WA MALIPO YA HUDUMA ZA MAJI
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleBABU WA MIAKA 104 ALIYEJIUA KWA SINDANO AELEZA HISTORIA YA MAISHA YAKE
David Goodall, mwanasayansi aliyeomba kukatisha uhai wake, leo atahitimisha safari yake duniani baada ya madaktari kuchomeka sindano ya sumu katika mshipa.Mzee huyo wa miaka 104, atakaribisha kifo kwa...
View ArticleRC MNDEME AIFUTIA LESENI KAMPUNI YA ZUMA CARGO KWA UPOTEVU WA TAN 15 ZA KOROSHO
Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ameifutia leseni kampuni ya ZUMA CARGO kwa upotezu wa tani kumi na tano za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagizaTaasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa...
View ArticleMAGAZETINI LEO MAY 12, 2018; TAHARUKI SHARTI BODI YA MIKOPO ... AFYA YAMWAGA...
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleHAKUTAKUWA NA UPUNGUFU WA SUKARI - DKT. TIZEBA
Waziri wa kilimo Mhe. Dkt. Charles Tizeba.Na Bashiri Salum, DodomaSerikali imeagiza sukari kiasi cha tani 70,354.35 kutoka nchi za nje lengo likiwa ni kujipanga ili kuhakikisha kuwa hapatokei upungufu...
View ArticleKUWAIT NA TAASISI YA WAMA ZATIA SAINI MKATABA WA KUWASAIDIA WALEMAVU
Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Al-Najem na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, Jumamosi Mei 12 2018, walitiliana saini mkataba wa ushirikiano kwa ajili...
View ArticleJUMIA YATOA SAMSUNG S9 NA S9+ KWA WATEJA WAKE
 Mkurugenzi Mkuu wa Jumia Tanzania, Bw. Zadok Prescott , akimkabidhi simu ya Samsung Galaxy S9, mteja Happiness Keto aliyoinunua simu hiyo kwa shilingi 59,000 tu katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam...
View ArticleAGAPE YAENDESHA KONGAMANO KWA WANAFUNZI SHULE 8 ZA KATA YA USANDA SHINYANGA
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la AGAPE, John Myola akifungua mdahalo uliokutanisha pamoja wanafunzi 120 kutoka shule 8 zilizopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga katika ukumbi...
View ArticleCOCA-COLA BONITE YAZIDI KULETA RAHA YA MZUKA WA SOKA NA COKA KANDA YA KASKAZINI
 Washindi wa luninga na pikipiki wakifurahia zawadi zao. Washindi wa luninga na pikipiki wakifurahia zawadi zao.Mmoja wa washindi wa fedha taslimu akipokea zawadi yakeWakati mashindano ya kombe la...
View ArticleDC GAIRO AAGIZA WACHIMBAJI MADINI WASIO NA LESENI KUSIMAMISHA UCHIMBAJI MARA...
Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Mhe. Siriel Mchembe akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama mara baada ya kutembelea sehemu ya migodi inayochibwa kinyemela na wachimbaji wasiokuwa na leseni.Moja ya mashine...
View ArticleKILIMANJARO BIA YA TANZANIA KINYWAJI RASMI KOMBE LA DUNIA 2018 NCHINI URUSI
 Meneja wa kiwanda cha Ilala, Calvin Martin na Meneja Masoko George Kavishe, wakiongoza wageni waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa promosheni ya bia ya Kilimanjaro kufanya cheers Maofisa waandamizi wa...
View ArticleSHINDANO LA UTUNZI WA HADITHI LA ANDIKA CHALLENGE LAZINDULIWA JIJINI DAR
 Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kinondoni, Bw Emmanuel Ntenga akizungumza machache na kuitambulisha meza kuu wakati wa hafla ya uzinduzi wa shindano la Andika Challenge kwa watoto wa shule za msingi...
View ArticleMAGAZETINI LEO 14, 2018; SERIKALI YAAGIZA NJE TANI 70,000 ZA SUKARI ... BENKI...
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMSANII LULU MICHAEL KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE
Muigizaji Elizabeth Michael, maarufu Lulu leo Jumatatu Mei 14, 2018 amebadilishiwa adhabu na sasa anatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Magereza imethibitisha kuhusu uamuzi...
View ArticleMIAKA 70 YA NAKBA YA WANANCHI WA PALESTINA
Taifa letu la Palestina linaadhimisha kumbukumbu ya miaka 70 ya Nakba (janga), likiendeleza mapambano kabambe ya kurudisha haki zake thabiti za kizalendo, kuondoa athari na matokeo yake ambayo bado...
View ArticleBITEKO AUNGA MKONO AGIZO LA WAZIRI MKUU KWA VITENDO, ACHANGIA MABATI 100...
Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mkoani Geita ambaye ni Naibu Waziri wa Madini Mhe Doto Mashaka Biteko akihutubia mamia ya wananchi katika Kijiji cha Kilimahewa kilichopo katika kata ya Bulangwa wakati wa...
View ArticleMADHIMISHO YA KIMONDO CHA MBOZI KUFANYIKA MWEZI JUNI MKOANI SONGWE
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga akiangalia Kimondo cha Mbozi alipotembelea kijiji cha Ndolezi, wilaya ya Mbozi mkoani Songwe jana kwa ajili ya kuangalia maandalizi ya maadhimisho ya...
View Article