Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME ameifutia leseni kampuni ya ZUMA CARGO kwa upotezu wa tani kumi na tano za korosho ambazo hazijulikani ziliko na kuiagizaTaasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa mkoa wa Ruvuma TAKUKURU kuhakikisha wanafanya uchunguzi wa jambo hilo.
↧