Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19902 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. MWANDOSYA, NAPE WATOA NENO ZITO KWA MBUNGE JOSEPH MBILINYI 'SUGU' BAADA...

Waziri wa Serikali ya Awamu ya Nne, Profesa Mark Mwandosya na mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye wamemkaribisha uraiani mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu aliyetoka gerezani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABU WA MIAKA 104 AJIUA KWA SINDANO, BASEL USWIS

Mwanasayansi David Goodall amehitimisha safari yake ya hapa duniani baada ya kujichoma sindano mwenyewe ya sumu iliyochukua dakika moja kuchukua uhai wake.Mwanasayansi huyo mwenye miaka 104...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SH. BILIONI 50/- ZATOLEWA KUANZA UJENZI WA STENDI MPYA YA MABASI MBEZI LUIS...

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu ujenzi wa Stendi ya mabasi ya kwenda mkoani kinatachotarajiwa kujengwa eneo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWIMBAJI WA INJILI KUTOKA KENYA AKANUSHA KUWA NA UJAUZITO WA MWANAMUZIKI...

Siku mbili hizi kuna stori zilienea Kwenye mitandao ya kijamii zilizosema kuwa Msanii wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize amempachika mimba mwanadada ambaye ni msanii wa nyimbo za Injili kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEPHEN MASELE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA BUNGE LA AFRIKA

Mbunge wa Shinyanga Mjini Stephen Masele  amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa kwanza wa Bunge la Afrika.Nimeletewa ujumbe huu na Mbunge wa Momba Silinde David leo tarehe  May 10 , 2018 kutoka huko...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAHIGA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA ISRAEL MHE. BENJAMIN NETANYAHU JIJINI...

Waziri Mkuu wa Israel Mhe. Benjamin Netanyahu (kulia) akimkaribisha ofisini kwake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga kwa ajili ya kufanya mazungumzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TATU MZUKA YATANGAZA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA WEMA SEPETU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Tatu Mzuka, Bwana Sebastian Maganga akizungumza mbele ya Waandishi wa habari mapema jana jijini Dar kuhusu Kampuni ya ‘The Network’ ambayo ni kampuni mama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YASALIMU AMRI YAKABIDHI RASMI UBINGWA KWA SIMBA SC

Klabu ya Mabingwa Watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga imekabidhi rasmi ubingwa kwa watani wao wa Jadi, Simba SC baada ya kuchapwa bao 2-0 na wenyeji wao Tanzania Prisons 'wajela jela' mchezo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA KANDA YA ZIWA WAENDELEA KUJIZOLEA ZAWADI ZA MZUKA WA SOKA NA COKA

 Meneja Masoko na Mauzo na Masoko wa Coca-Cola Nyanza, akiongea na waandishi wa habari. Washindi mbalimbali wakikabidhiwa zawadi zao.Baadhi ya washindi wakifurahia zawadi walizojishindia.---Promosheni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETINI LEO MAY 11, 2018: MAGUFULI AMTOA SUGU GEREZANI ... WASOMI 122,000...

Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAPINZANI SASA WAMEANZA KUMUELEWA RAIS DKT. MAGUFULI

Na Mwandishi Wetu-MAELEZO.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoingia madarakani,baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ni dhahiri kuwa walio wengi hawakumwelewa hasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WA AFYA YA JAMII MUHAS WASHINDA RUZUKU YA UTAFITI WA TB

 Dkt. Calvin Mwasha akipokea ruzuku aliyoshinda kwa ajili ya kufanya utafiti wa masuala ya kifua kikuu, Tanzania kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa shirika la KNVC, Dkt. Vishnu Mahamba, kwenye ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE JESCA KISHOA WA CHADEMA APATA AJALI DODOMA

Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Jesca Kishoa amepata ajali leo Ijumaa Mei 11, 2018 karibu na jengo la Bunge mjini Dodoma.Mbunge huyo kwa sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Bunge japo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMISHNA WASTAAFU POLISI WAAGWA RASMI KWA GWARIDE MAALUM

 Makamishna wastaafu wa Jeshi la Polisi, Clodwing Mtweve na Elice Mapunda wakiwaaga Maofisa na Askari Polisi huku wakisukumwa katika gari maalumu wakati wa Gwaride lililoandaliwa kwa ajili ya kuwaaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABINBEV NA WASHIRIKA KULETA MAPINDUZI MAKUBWA KWA WAKULIMA WADOGO

Washindi wa shindano la ubunifu wa kiteknolojia katika picha ya pamoja na mgeni rasmi baada ya kukabidhiwa zawadi zao.----Ni kutokana na matumizi ya teknolojia za kisasaWataalamu mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA ULAYA (EU) NA SERIKALI WATANGAZA USHIRIKIANO UFADHILI WA MASOMO YA...

Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako akiongea na wadau wa Elimu na Utafiti jijini Dar es Salaam leo Mei 11, 2018, wakati wa kutangaza ushirikiano kwenye masuala ya utafiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AFUNGUA WARSHA YA KITAIFA YA MAPITIO YA RASIMU YA SERA YA...

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangalla akifungua Warsha ya Kitaifa ya Mapitio ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Utalii ya mwaka 2018 Jijini Dodoma leo.Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA MKUU WA TRA ATEMBELEWA NA BALOZI WA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA...

Balozi wa Serikali ya Jamhuri ya Korea Kusini nchini Tanzania Bw. Song Geum - Young (wa pili kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Charles Kichere (kulia)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAGONJWA WASIOFAHAMIKA WANAKOTOKA

Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG

View Article
Browsing all 19902 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>