Mbunge wa Shinyanga Mjini Stephen Masele amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa kwanza wa Bunge la Afrika.
Nimeletewa ujumbe huu na Mbunge wa Momba Silinde David leo tarehe May 10 , 2018 kutoka huko Midrand-Johannesburg, Afrika Kusini
Tunatoa pongeza sana kwa ndugu Masele kwa imani kubwa aliyopewa na Wabunge wa Bara zima la Afrika.
Nataraji atajenga heshima ya Tanzania na Afrika.
Mungu ibariki Afrika.