MVUA ZINAZONYESHA ZALETA MAAFA MKOANI SINGIDA
Wananchi wakivuka kwa miguu katika Daraja la Manung’una, lililopo katika Kijiji cha Msisi, Singida ambalo limekatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.MVUA zinazoendelea kunyesha mkoani...
View ArticleWATEJA WA AIRTEL SASA KUTUMA SMS KWA SHILINGI MOJA
Meneja bidhaa na masoko Francis Ndikumwami akionyesha kipeperushi cha huduma ya SMS kichizi wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo itakayowawezesha wateja wa Airtel nchini kutuma ujumbe mfupi wa sms kwa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AUNGANA NA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KUMZIKA MAREHEMU JUMA...
Maelfu waliojitokeza kumzika marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wasanii wakijipanga kumzika marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki'. Jeneza lililobeba...
View ArticleTANZANIA MNAJIFUNZA NINI KUPITIA WATU WA KOREA KUSINI???
Wasalam... Leo nimekuja na jambo jingine tena. Picha mnaoziona ni uzalendo wa watu wa Korea Kusini kwa kutambua mapato ambayo kampuni ya Samsung inaingiza kwa bidhaa zake za kielectronic na kuinua...
View ArticleRAIS KIKWETE ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA SAJUKI
Wasanii wakiwa amejipanga kumsubiri Mh. Jakaya Mrisho Kikwete nyumbani kwa Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' aliyefariki mwishoni mwa wiki hii na maziko yake yalifanyika jana tarehe 4.1.2012 katika...
View ArticleMKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA...
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahafali ya Kidato cha Sita kwa Jumuiya ya Wanafunzi wa Kiislamu wa...
View ArticleKIJANA ALA KICHAPO MARA BAADA YA KUIBA KITIMOTO NA BIA JIJINI DAR
Kijana mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja akilia kwa uchungu mara baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali mara baada ya kudaiwa ameiba nyama ya Nguruwe...
View ArticleSERA MBOVU ZA UCHUMI SI RAFIKI WA WALALAHOI: PROF. LIPUMBA
TAIFA letu limekuwa lilikabiliwa na mdororo mkubwa wa uchumi uliosababishwa na sera ambazo si rafiki kwa walalahoi. Suala la kuanzisha vijiji vya ujamaa kuliwaondolea motisha wakulima na kuona kama...
View ArticleTUNABORESHA ALAMA ZA BARABARANI
Mmoja wafanyakazi wa manispaa ya Ilala akichora alama ya barabarani katika kibao kilichopo Posta jijini Dar.Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleLUKAZA BLOG SASA KUKULETEA SOMO JUU YA MFUMO MZIMA WA DIGITALI NA MAWASILIANO...
Kutokana Nchini Nyingi za Afrika Ikiwemo Tanzania Kulazimika Kuingia Kwenye Mfumo Mpya Wa Kurushia Matangazo ya televisheni wa digitali na kutoka Kwenye mfumo wa Zamani wa Analogia na Kupelekea Kuleta...
View ArticleWASTARA JUMA NDIYE MWANAMKE MFANO WA KUIGWA: ZITTO KABWE NA IDD AZZAN
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWADAU wa sanaa hapa nchini, wameendelea kummwagia sifa mwanadada Wastara Juma, aliyekuwa mke wa marehemu Sadiki Juma Kilowoko, maarufu kama Sajuki kuwa ana moyo wa aina...
View ArticleMAGAZETI YA LEO; NI VITA YA WAZEE URAIS 2015, WARIOBA AMKINGIA KIFUA RAIS JK,...
Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleMTUHUMIWA WA KESI YA DK ULIMBOKA ATOA SIRI NZITO
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi Makao Makuu na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kutoa kauli tata kuhusu uchunguzi wa tukio la kutekwa, kuteswa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari, Dk. Steven...
View ArticleTWANGA PEPETA FC YAIKACHA KIJITONYAMA VETERANS FC LEADERS LEO
Kipa wa timu ya Kijitonyama Veterans, Abdallah Omary (kulia) akiokoa moja ya hatari iliyoelekezwa langoni kwake, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa leo kwenye uwanja wa Leaders Club Kinondoni,...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA WAKFU ASKOFU DKT ALEX SEIF...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na kiongozi wa kanisa la KKKT nchini Dkt Alex Gehaz Malasusa na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya kati Dkt Alex Seif Mkumbo baada ya sherehe ya Kusimikwa Wakfu...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AANZA ZIARA YA SIKU NNE YA MKOA WA TABORA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ripoti ya mkoa wa Tabora toka kwa Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa huo aliyosomewa mara baada ya kuwasili kuanza ziara ya kikazi ya siku nne.Umati wa viongozi wa mkoa...
View ArticleMWAKA HUU LAZIMA NIZAE: MWASITI
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamNYOTA wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva aliyepatia makali yake katika taasisi ya kukuza na kulea ya vipaji ya Tanzania House of Talents (THT), Mwasiti...
View Article