TAARIFA YA MVUA KUBWA, UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA
TAHADHARI 20130101Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleMSANII SAJUKI AFARIKI DUNIA
Kwa taarifa zilizopatikana kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari, zinasema kuwa msanii aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu, mwigizaji mahiri Bongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo majira...
View ArticleMWAKA MPYA DAR LIVE: WASANII WAANGUSHA MUZIKI WA KUFA MTU
Juma Nature akiwapagawisha mashabiki. Mkongwe Profesa J akiwapelekesha puta mashabiki.Stamina akionyesha anavyotawala jukwaa. Linex akiwapagawisha mashabiki. Mkongwe Luteni Kalama wa Gangwe Mob...
View ArticleBEI YA NISHATI YA MAFUTA YASHUKA NI PETROL, DISEL NA MAFUTA YA TAA
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetangaza bei kikomo cha bidhaa za mafuta kinachoonyesha kuwa petroli, dizeli na mafuta ya taa zimeshuka kuanzia leo. Taarifa iliyotolewa jana...
View ArticleMSANII SAJUKI KUZIKWA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR
Wasanii wakiwa wamejitokeza katika msiba wa mwenzao. Watu waliojitokeza msibani huku wengine wakiwa wamekaa kwenye mitalo ya maji.Watu wakiwa msibani huku wakijadili mambo mbali mbali. Msiba wa...
View ArticleSALAMU ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA MH. JAKAYA...
Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleBONDIA LULU KAYAGE AJIANDAA KUMKABILI SALMA KIHOBWA WA MOROGORO
Bondia lulu Kayage 'kushoto' akioneshana uwezo wa kutupiana makonde na Mohamedi Chipota wakati wa Mazoezi yake katika kambi ya Amana CCM Ilala ya kujiandaa na mpambano wake na Salma Kihobwa...
View ArticleMH. LOWASSA AANDA MNUSO WA NGUVU WA MWAKA MPYA MONDULI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwapungua mikono wageni waalikwa wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya...
View ArticleMSHINDI WA BAHATI NASIBU 'TIMIZA NDOTO YAKO JISHINDIE NOAH' AKABIDHIWA GARI LAKE
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azzan (kulia), akimkabidhi funguo mshindi wa Toyota Noah, Ramadhan Salum Pazi.Idd Azzan (kulia) akimkabidhi faili la gari mshindi wa Noah, Ramadhan Pazi. Ramadhan Pazi...
View ArticleMPIGIE KURA MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Habari za leo wadau wote na poleni na kazi, Tulikuwa tunaomba mtusaidie kutuwekea uzinduzi wa kupiga Kura kupitia Mtandaoni. Tunatanguliza Shukurani zetu. AsanteniIli kuongeza ushiriki wa wananchi ,...
View ArticleMAANDAMANO DHIDI YA BOMBA LA GESI: KILIO CHA UWAJIBIKAJI
'Dar inachangia asilimia 80 ya mapato. Kitovu cha Uchumi. Dar inachangia 90% ya ufisadi. Uti wa mgongo wa ufisadi nchini'Malumbano kati ya wananchi wa Mtwara na Serikali kuhusu matumizi bora ya utajiri...
View ArticleSAJUKI ALISEMA HAWEZI KUISHI TENA DUNIANI
Na Kambi Mbwana, Dar es SalaamNI dhahiri kuwa wakati mwingine baadhi ya watu hutabiri vifo vyao, kiasi hata ha kuwazuia ndugu zao waache kufuja fedha katika kuuguza kutokana na maradhi yao.Hii hutokea...
View ArticleRATIBA YA MAZISHI YA MSIBA WA NDG JUMA SAID KILOWOKO ( SAJUKI) TAREHE 04/01/2013
SAJUKI.docCopyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleMAHOJIANO YA MAREHEMU SAJUKI NA KIPINDI CHA WANAWAKE LIVE
Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleHERI YA MWAKA MPYA 2013
Elewa sio kila anayecheka na wewe kafurahi nawe,Utu wao umo katika "MACHO",Nafsi zao "ZIMEBEBA""Husda""Uadui""Uchawi""Choyo" na"Roho mbaya".Furaha zao kukuona "UNAHARIBIKIWA",Na Hasira zao kukuona...
View ArticleKUWATUMIA WATAALAMU WA KITANZANIA WALIOKO UGHAIBUNI (DIASPORA) NA NDANI YA...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuwatumia wataalamu wa Kitanzania walioko ndani ya nchi na wale walioko ughaibuni (Diaspora) katika kutekeleza mipango yake kadhaa yenye umuhimu...
View ArticleMATUKIO YA MSIBA WA MAREHEMU SAJUKI JIJINI DAR
Mkurugenzi wa Maendeleo na Utamaduni wa Wizara ya Habari Bw. Herman Mwasoka (mwenye suti nyeusi) akimfariji Baba mzazi wa Marehemu Sajuki Mzee Juma Kilowoko alipofika nyumbani kwa marehemu kuhani...
View ArticleMKUU WA WILAYA KILINDI ALIA NA WANAONUFAISHA MATUMBO YAO
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Kilindi (pichani), mkoani Tanga, Selemani Liwowa, amesema watakuwa wakali zaidi na wenyeviti wa Serikali za vijiji ambao wamekuwa wakifanya kazi kwa...
View Article