MVUA KUBWA YANYESHA LEO NA KUSABABISHA KUTOFANYIKA VYEMA UZINDUZI WA MUIMBAJI...
Tamasha la uzinduzi wa albamu ya muimbaji Jesca Julius lililotarajiwa kufanyika jumapili ya leo katika Uwanja wa CCM Kirumba halikuweza kufanyika vizuri kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jijini...
View ArticleISSA KWISSA MWAIFUGE NA VERDIANA KAMUGISHA WAMEREMETA
Rais wa Makapera Tanzania, Issa Kwisa Mwaifuge, leo ameamua kuwageuka wafuasi wake rasmi na kuvunja katiba ya kundi lake na kuamua kuuaga ukapera rasmi na kumuoa Binti mrembo aliyewahi kushiriki...
View ArticleMANJU MSITA PRESENTS MANJOU DESIGNS
At Smart Afrika there is Manjou Designs Label, Tanzania’s leading house of ready-made and tailor-made attires with authentic African touch for distinctive global look, originally is our motto.With...
View ArticleJESHI LA POLISI LAWASHIKILIA WATU 5 KWA TUHUMA ZA KUHUSIKA NA SHAMBULIO LA...
Jeshi la Polisi ZNZ linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na shambulizi la risasi dhidi ya Padri Amros Nkenda(52), mwishoni mwa wiki iliyopita. Afisa Habari Mkuu wa Jeshi la Polisi ZNZ...
View ArticleHATA SISI TUNAPENDA KUENDESHA BAISKELI
Raia wa kigeni akiendesha baiskeli katika barabara ya Bagamoyo eneo la Victoria jiji Dar.Copyright 2007-2012 @KAJUNASON
View ArticleMWAKA 2013 NAANZA MAISHA MAPYA: DJ CHOKA
Mwaka 2012 ni mwaka wenye history nyingi sana kwangu, vitu vingi nimepishana navyo hadi kuja kukupata wewe mwanangu Harrison. Zamani nilikuwa nikipata hela nawaza mademu na kulewa lakini sasa hivi...
View Article"NAFSI NI NYONGE" TUSAMEHEANE NA MAISHA YAENDELEE. KARIBU 2013 KWA UFANISI ZAIDI
Wapendwa ndugu, jamaa na marafiki popote pale mlipo,yamebaki masaa kadhaa kuuaga mwaka 2012, ambao kwa hakika ulikuwa na changamoto nyingi za kimaisha, dhoruba za hapa na pale wengi zilitukumba, lakini...
View ArticleMSTAHIKI MEYA JERRY SILAA AKABIDHI ZAWADI ZA MWAKA MPYA KWA KITUO CHA...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akikabidhi Mbuzi kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tushikamane Children Care Trust Fund Bw. Gratho Messy Mbele (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Shule ya...
View ArticleMSHINDI WA PILI WA EBSS 2012 SALMA YUSUF AWASHA MOTO NDANI YA SKYLIGHT BAND,...
Sam Machozi a..k.a Sam Mapenzi akiongozaji waimbaji wenzake Aneth Kushaba (kushoto) sambamba na Sony Masamba wakitoa burudani ya aina yake Ijumaa ya mwisho kwa mwaka 2012 katika kiota cha Thai Village...
View ArticleSHEREHE YA KUAGA NA KUUKARIBISHA MWAKA 2013 NDANI YA FRIENDS PUB, KINONDONI...
Utumbo tayari kwa kutengenezwa supu... Nyama ikiiva jikoni. Vijana wakisafisha utumbo kwa ajili ya supu... Nyama ikiendelea kuiva.Kijana akigeuza nyama ndani ya jiko la kisasa, ikiwa ni maalum kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE APONGEZWA KWA MAFANIKIO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba leo Desemba 31, 2012 wakati wa kupiga picha baada ya kuzindua matokeo ya sensa ya watun na makazi katika viwanja vya...
View ArticleHERI YA MWAKA MPYA 2013 KWA KILA MDAU
Siyo mimi hata wao wamechangia mafanikio yangu...Mlale sasa jamani sawa, msisahau kushusha 'vyandarua' maana mbu hawajui mwaka mpya.Kumbukeni kauli ya Mh. Rais wa Jamhuri ya Tanzania Jakaya Mrisho...
View ArticleDAR LIVE NA SHAMRA ZA MWAKA MPYA, UZINDUZI ALBAMU YA ‘DOMO LA UDAKU’
Mashabiki wa Dar Live wakiwa na furaha ya kuuona mwaka mpya na burudani ya taarab.Umati ukirindima kwa burudani baada ya kutangaziwa kuwa mwaka mpya 2013 umeingia.Kundi la Kings Modern Taarab likikonga...
View ArticleMH. LOWASSA AZINDUA VIKOBA KIJIJI CHA MSWAKINI WILAYANI MONDULI
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye kijiji cha Mswakini Wilayani Monduli tayari kwa hafla fupi ya uzinduzi wa vikoba katika kijiji hicho.Katikati ni...
View ArticleRAIS KIKWETE AKARIBISHA MWAKA MPYA KIJIJINI KWAKE MSOGA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakichangayika na wanakijiji wenzao wa kijijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za...
View ArticleWANAFUNZI WA SHAHADA YA KWANZA YA SOSHOLOJIA YA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)...
Baadhi ya wanafunzi wa shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) wakisikiliza kwa makini wakati wakipewa elimu ya mazingira wakati walipoenda kupanda miti katika Shule zilizopo...
View ArticleMeTL GROUP YADHAMINI MBIO ZA MARATHON ZA KILOMETA 10 USIKU WA MKESHA WA MWAKA...
Mwandaaji wa Mashindano ya Marathon ya Kilomita 10 ya 'MeTL New Years Eve Midnight Race' Sarah Ramdhani ambaye pia ni mchezaji na amewahi kukiongoza chama cha Riadha Tanzania kwa miaka 10 ambapo...
View Article