Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

TANZANIA MNAJIFUNZA NINI KUPITIA WATU WA KOREA KUSINI???

$
0
0
 Wasalam... Leo nimekuja na jambo jingine tena. Picha mnaoziona ni uzalendo wa watu wa Korea Kusini kwa kutambua mapato ambayo kampuni ya Samsung inaingiza kwa bidhaa zake za kielectronic na kuinua uchumi wa taifa hili. Huu ni mji unaoitwa Samsung Satellite City, heshima kubwa sana na kukubali kwamba Samsung imekuwa na shabaha njema kwa uchumi wa Korea Kusini katika pato la taifa. Samsung iliingiza pato la US$ 247.5 billion mwaka 2011, imeajiri watu 360,000 kupitia viwanda vyake vya electronics, vifaa vya majumbani, maofisini na uwekezaji kwenye mitambo mingine. Uzalendo jamani! Mji huu ni nadhifu duniani kwa sababu barabara zote ziko kwenye satellite hadi vichochoro vimefungwa kamera za SAMSUNG na CCTV hakuna wizi, wala wale vibaka wa kwapuakwapua wala ujambazi wa 'kijingajinga'. Tunalo la kujifunza hapa kwetu nchini Tanzania! 

Shukrani mdau wa Kajunason Blog, Tuma Dandi aliyepo nchini Korea Kusini.
 Mji uitwao Samsung Satellite City ulivyo nadhifu kwa usafi.
Ona barabara za juu (Fly Over road).

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19575

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>