CHICHI MAWE KUMKABILI MTHAILAND APRIL 19 NA MOHAMED MATUMLA MEI 10 PTA SABASABA
Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akipambana na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho...
View ArticleMVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA ZAHARIBU MIUNDOMBINU YA RELI KWA NJIA YA DAR ES...
Sehemu ya njia ya reli katika eneo la Ming’ongo ikiwa inaning’inia baada ya tuta kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mkurugenzi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA MRADI WA MAISHA, UNAOHUSU AFYA...
01:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Meja Ali Kitundu, kuhusu elimu ya awali kwa wanafunzi wanaojifunza elimu ya...
View ArticleMJENGWABLOG IMERUDI HEWANI SAA KADHAA ZILIZOPITA.
NDUGU ZANGU,MJENGWABLOG SASA IKO HEWANI . UNAWEZA KUITEMBELEA KUPITIA http://mjengwablog.com/POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI.Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleBARAZA KUU LA WAFANYAKAZI NSSF LAKUTANA DAR ES SALAAM
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa NSSF wakiwa katika mapumziko mafupi kabla ya kuendelea na mkutano wao. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF),...
View ArticleMPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI DUNIA
Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.Taarifa za awali...
View ArticleFAN CITY YAJIPANGA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE KWA WATANZANIA PASAKA
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Green Stars Industry inayomiliki eneo la FAN CITY Bw. Hasan Rizvi akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) mashine za michezo mbali mbali itakayotolewa...
View ArticleTAARIFA YA TAHADHARI YA MVUA KUBWA APRILI 17 NA 18, 2014
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTIGO YAKABIDHI MSAADA KWA SHIRIKA LA RED CROSS TANZANIA KWA AJILI YA...
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema...
View ArticleKINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA MIKOA YA RUKWA,KIGOMA NA KATAVI
Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuelekea kwenye mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Kashaulili mjini Mpanda leo asubuhi wakati wa kuhitimisha ziara ya...
View ArticleMABADILIKO YA UELEKEO WA BARABARA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUANZIA...
1. Kipande cha Mtaa wa Samora kuanzia Mnara wa Askari (Askari Monument) hadi Clock Tower Magari kutakuwa na mabadiliko ambayo magari yatakuwa yanaelekea Clock Tower badala ya Askari Monument.2....
View ArticleROLL OUT TO RURAL AREAS, MOBILE PHONE FIRMS URGED
By Our correspondentTHE Minister for Communication, Science and Technology, Prof. Makame Mbarawa, has urged mobile phone service companies to consider providing communication services to rural areas as...
View ArticleRAIS KIKWETE ASEMA WANAOWASEMA VIBAYA KARUME NA NYERERE NI UTOVU WA NIDHAMU
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleWAUMINI WA DINI YA KIKRISTU WAHUDHURIA IBADA MAALUM YA IJUMAA KUU LEO
Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe, (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya Kuwambwa msalabani Yesu Kristo miaka 2000...
View ArticleYANGA YAJIFUA KUKABILIANA NA SIMBA LEO UWANJA WA TAIFA, DAR
Kipa wa timu ya Yanga, Juma Kaseja akifanya mazoezi katika Uwanja wa Karume Dar es Salaam jana kukabiliana na timu ya Simba wanayotarajia kushuka dimbani leo Aprili 19, 2014.Wakati timu za watani wa...
View ArticleMWANAMUZIKI MAREHEMU CHILL CHALLA WA BENDI YA SKYLIGHT AZIKWA JIJINI, DAR
Mwili wa marehemu ukipandishwa kwenye gari Tayari kwenda kuzikwa baada ya ibada ya kumuombea.Msafara ukielekea makaburi ya Mwananyamala kwa kopa.Mwili wa marehemu ukishushwa kaburini tayari kwa...
View ArticleWATU 15 WAJERUHIWA VIBAYA NA MLIPUKO WA BOMU KATIKA BAR YA ARUSHA NIGHT PARK,...
WATU zaidi ya 50 wamenusurika kufa mara baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa bomu lililotengenezwa kwa mkono kulipuka na kuwajeruhi vibaya watu 15 sehem mbalimbali za mwili katika bar ya Arusha Night...
View ArticleMABONDIA CHEKA,MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifauliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es...
View Article