Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akipambana na bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na Bondia SukkasemKietyongyuth kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba.
Kiongozi wa Lazima Ukae GYM Gulamu Kassim kushoto akimwelekeza bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yake yanayoendelea katika kambi hiyo iliyopi Kinondoni Dar es salaam Miyeyusho anajiandaa na mpambano wake na Bondia SukkasemKietyongyuth kutoka Thailand April 19 na Mohamed Matumla Mei 10 mipambano yote itafanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba.