SIMBA NA YANGA ZATOKA SARE YA 1-1
Wachezaki wa Simba, wakishangilia bao lao la kuongoza lililofungwa na haruna Chanongo. Simon Msuva, akishangilia bao lake aliloisawazishia Yanga...Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao lao la...
View ArticleMOTO WALIWAKIA GAZETI LA MAWIO
Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano.Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA DAR WAENDELEA KUNYANYASIKA NA MVUA
Moja ya kero zinazowakabili wakazi wa jiji la Dar es Salaam ni kunyesha kwa mvua ambapo wakazi wa jiji hilo hupata kero kubwa... maana kila sehemu hujaa maji. Barabara imejaa maji kila mahali....
View ArticleMHE MIZENGO PINDA: MGONGANO BUNGE LA KATIBA NI KUTOKANA NA MAKUNDI KINZANI
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMBOWE: SIYO LAZIMA KATIBA IPATIKANE SASA
Mwenyekiti wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe amesema Katiba inayoandaliwa siyo lazima ipatikane kwa sasa kutokana na hofu ya kukosekana kwa maridhiano yanayoendelea kujitokeza...
View ArticleSECURITY HEIGHTENED ACROSS THE COUNTRY OVER EASTER HOLIDAYS, KENYA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMBIO ZA TIGO NGORONGORO ZAFANA MJINI KARATU
Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na...
View ArticleWEMA SEPETU ASHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL, DAR LIVE
Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' akiwa na tuzo yake baada ya kuibuka Ijumaa Sexiest Girl 2013/14 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.Wema akiwashukuru mashabiki wake waliompigia kura na...
View ArticleMAZUNGUMZO NA DR. PATRICK NHIGULA KUHUSU BUNGE MAALUM LA KATIBA
Karibu katika mazungumzo na Dr Patrick Nhigula kuhusu mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania.Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu suala hili muhimu...
View ArticleMEYA JERRY SLAA NA RIDHIWANI KIKWETE WASEMA HAWAJAMTUKANA MHE. LOWASSA
Majibu ya Meya wa Manispaa ya Ilala, Mh. Jerry Silaa kuhusiana na sakata la kumtukana Mh. Lowassa. Kwa mujibu wa ukurasa wa Facebook wa Mh. Silaa alisema amepokea kwa Masikitiko makubwa taarifa...
View ArticleWATANZANIA WAMETAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA UWEKEZAJI
Ofisa utumishi Mkuu Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Bwana Godfrey Mugomi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa hoteli ya kisasa STAR CITY HOTEL iliyopo Afrikasana, Sinza wanaoshudia ni...
View ArticleWAZIRI PROF. MAKAME MBARAWA ASHUHUDIA MAKAMPUNI YA SIMU YAKIWEKA SAINI...
001: Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Ofisa Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Georgia Mutagahywa (kulia) muda mfupi...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DR. BILAL MKUTANO WA 28 WA MWAKA WA NIMR NA KONGAMANO LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akizindua rasmi mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MKUU WA MKOA SIMIYU, KUFUATIA...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Paschal Mabiti,kuomboleza vifo vya watu 11 ambao wamepoteza...
View ArticleMVUA ZAWAPA AJIRA VIJANA
Wananchi wa mji wa Bangamoyo wakimvusha mgonjwa katika moja ya Daraja la barabara ya Bagamoyo Msata ambayo kwa sasa imejaa maji kutokana na mvua zinazoendelea. Wananchi wakivushwa.... kwa gharama ya...
View ArticleMWANAMUME ANAYEJIKIMU KIMAISHA KWA KUTUNZA MAKABURI, KENYA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleFACEBOOK YASHIRIKIANA NA TIGO KUWAPA WATEJA HUDUMA ZAKE BURE, NA KWA LUGHA YA...
Mkurugenzi wa Facebook wa Ushirikiano na Ukuaji wa Kimataifa, Bw. Nicola D’Elia akiongea katika uzinduzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Pembeni ni Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Bw. Diego Gutierrez...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MAREHEMU JOACHIM BWANAMPINI LEBABU KIRAMBATA
KUZALIWA 02/02/1945 KUFA 04/05/2013TAREHE 04/05/2014 UMETIMIA MWAKA MMOJA KAMILI TANGUMWENYEZI MUNGU AKUITE.ILIKUWA SIKU YA MAJONZI MAKUU KATIKA FAMILIA YETU.KIFO KILITOKEA KATIKA HOSPITALI YA...
View ArticleUNHWA YA KOREA KUSINI KUISAIDIA NIMR KATIKA UGUNDUZI WA DAWA KWA KUTUMIA MIMEA
Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Dk. Mwele Malecela.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya UNHWA ya Jamhuri ya Korea Kusini Bw. Young Woo Jin na ujumbe wake na uongozi wa NIMR...
View Article