AROBAINI WARIPOTI KAMBI YA TAIFA MISS UTALII TANZANIA 2012/2013
Washiriki wanao wanania Taji la Miss Utalii 2012/13 wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya kuwasili Kambini, Ikondolelo Lodge Hoteli ya Kitalii iliyopo Kibamba Jijini Dar es salaam.---Jumla...
View ArticleUFAFANUZI WA WIMBO WA ROMA 2030
MAANA PESA NDIYO ILIFANYA TUSIWE NA TANGA NDUGUPESA ILILETA UBAGUZI KATI YA LOYOLA NA PUGUPESA NDIYO ILICHOCHEA BEEF YA NICE NA DUDUNA PESA NDIYO ILIMALIZA VITA YA RUGE NA SUGU!!!Maana...
View ArticleYANGA YASHINDA BAO 3-2 DHIDI YA BLACK LEOPARDS YA AFRICA KUSINI
Mchezaji wa timu ya Yanga, Kabange Twite akimiliki mpira mbele ya Nkosiabo Xakane mchezaji wa Black Leopards ya Afrika Kusini katika mchezo wa kirafiki uliokutanisha timu hizo kwenye uwanja wa Taifa...
View ArticleBONDIA RAMADHANI SHAURI KUZIPIGA KESHO
Said Njechele na Ramadhani Shauri wakitunishiana misuli.Mratibu wa pambano akiwanyanyua juu mikono kuonesha wapo tayari kwa kupambana.--- Bondia wa ngumi za kulipwa na bingwa wa IBF INTERCONTINETAL...
View ArticleMKUTANO MKUU WA YANGA WAWAFIKUZA WANACHAMA WAO WAWILI, LOUIS SENDEU NA...
Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Yanga uliofanyika katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI UFARANSA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mke wa Rais wa Mali MamaTouré Lobbo Traoré waliyekutana naye uwanja wa ndege wa Kimataifa Charles de Gaulle jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuwasili tayari...
View ArticleUFUNGUZI WA MASHINDANO YA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA ULIOONYESHWA NA DSTV...
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Multichoice Tanzania ambao ni wasambazaji wakuu wa Ving'amuzi vya DStv,Salum Salum (kulia) akizungumza na Wapenzi wa soka walikuwa wamefurika kwa wingi kwenye kiota cha...
View ArticleFAHAMU VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME
Ukweli ni kwamba ndoa nyingi za Kikristo zinavunjika kutokana na tatizo hili. Je, hakuna haja ya kuitisha mjadala wa kitaifa? Taifa letu linaangamia kwa kukosa maarifa.Hivi upungufu wa nguvu za kiume...
View ArticleMTWARA: SERIKALI INAVUNJA NCHI KWA KUTOSIKILIZA WANANCHI-ZITTO KABWE
Kwa wiki ya tatu mfululizo kumekuwa na malumbano kuhusiana na suala la ujenzi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es Salaam. Kumekuwa na madai yenye nguvu ya hoja kutoka kwa wananchi wa Mtwara...
View ArticleMH WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MKUU WA MKOA WA LINDI LUDOVICK MWANANZILA...
Waziri mkuu Mizengo Pinda amefika katika hospitali ya muhimbili kumpa pole Mkuu wa Mkoa wa Lindi Lodovick Mwananzila amelazwa kwakutokana na ugonjwa wa presha inayo msumbua. (Picha na Chris...
View ArticleMKURUGENZI MTENDAJI UTPC AMTEMBELEA MJANE WA MWANGOSI, IRINGA
Mkurugenzi mtendaji wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC)Abubakar Karsan akimfariji mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu ya waandishi wa mkoa wa Iringa (IPC) na...
View ArticleUNYWAJI HUU WA POMBE NI HATARI KWA AFYA
Wakazi wa kijiji cha Makonde wilaya ya Ludewa wakinywa pombe kwa kupokezana katika lita mojo, hii ni kawaida sana kwa mikoa ya kusini kunywa pombe kwa kupokezana japo ni hatari sana kiafya...
View ArticleAFYA YAKO: MTINDO BORA WA MAISHA-1
Mtindo bora wa maisha ni upi?Mtindo bora wa maisha ni ule unaozingatia ulaji bora, kufanya mazoezi ya mwili, kuepuka matumizi ya sigara na bidhaa zitokanazo na tumbaku; kuepuka matumizi ya pombe na...
View ArticleKIPINDI CHA MIMI NA TANZANIA KIMERUDI HEWANI
Mimi Na Tanzania‚ ni kipindi kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au nyingine haswa katika siasa, uchumi,michezo,na vikwazo na vimbwangwa vinavyoikumba jamii ya kitanzania.Mimi Na...
View ArticleMH. LOWASSA AHUDHURIA MSIBA WA MUME WA MBUNGE WA ZAMANI WA TEMEKE, MH....
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa jana Jumapili jioni alikuwa ni miongoni mwa waombolezaji waliofika kuaga mwili wa Marehemu Sufiani Bakari Kusaga, Nyumbani kwake...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKELEWA RASMI NCHINI UFARANSA NA RAIS FRANCOIS HOLLANDE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi aliloandaliwa kwa heshima yake mjini Paris Ufaransa leo Januari 21, 2013 ikiashiria kuanza rasmi kwa ziara yake ya kiserikali ya siku tano nchini...
View ArticleMH. JANUARY MAKAMBA AKUTANA NA WAFANYAKAZI WA TTCL JIJINI DAR LEO
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,Mhe. January Makamba akizungumza na wafanyakazi wa TTCL wakati wa Mkutano wa kutoa kero zao kuhusu Hali mbaya inayoikabiri Kampuni ya Simu ya TTCL na...
View ArticleSHINDANO LA ‘THE MIC KING’ LAZIDI KUCHENGUA MASHABIKI DAR LIVE
Mmoja wa washiriki, Ally Kawina, akichana mistari. Ibrahim Jackson akiwaonyesha mashabiki hazina yake katika mpambano huo. Arnold Mathias akikamua ‘vipande’ vyake. Ally Zuberi akionyesha vitu vyake....
View Article