Wakazi wa kijiji cha Makonde wilaya ya Ludewa wakinywa pombe kwa kupokezana katika lita mojo, hii ni kawaida sana kwa mikoa ya kusini kunywa pombe kwa kupokezana japo ni hatari sana kiafya
Mama mtu akinywa.
Mama akimnywesha mtoto wake pombe ya kienyeji kama inavyoonekana katika picha. Hii ni hatari sana hebu tujiulize kama kuna magonjwa ya kuambukizana hapa inakuwaje???? Picha na Francis Godwin Blog, Iringa.