



Kikosi cha timu ya Yanga kikiwa katika picha ya pamoja.

Kikosi cha timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini kikiwa katika picha ya pamoja.
Goli la Yanga limefungwa na mchezaji Jerrison Tegete kwa penati katika kipindi cha kwanza baada ya Mchezaji Haruna Niyonzima kuangushwa katika eneo la hatari na mchezaji wa timu ya Black Leopards na kuongeza goli la tatu katika kipindi cha pili , Huku mchezaji Didier Kavumbagu akapachika goli la pili katika kipindi katika kipindi hichohicho cha pili cha mchezo.
Timu ya Black Leopards ya Afrika Kusini imefanikiwa kupata magoli mawili katika kipindi cha pili na kufanya matokeo kuwa Yanga 3 na timu ya Black Leopards 2 mpaka mwisho wa mchezao huo. Picha na Fullshangweblog.