Mkutano wa Yanga uliofanyika leo umewafuta uanachana aliyekuwa Afisa habari Louis Sendeu na aliyekuwa Katibu Mkuu Selestine baada ya wao kwenda mahakamani kuishitaki yanga.
Wanachama hao walikwenda mahakamani kudai stahili zao walipokuwa wafanyakazi wa klabu hiyo.