Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19852 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIKI YA UKOMBOZI WA AFRIKA NA UZINDUZI MRADI UHIFADHI URITHI NYARAKA TANZANIA

Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA TATU WA MADAKTARI WA MIFUPA WAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akifungua Mkutano wa tatu  wa Madaktari Bingwa wa Mifupa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA, JOHN HAULE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael Haule, wakati Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR.

  Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pilikulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AWAAPISHA KATIBU MKUU, NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha  Balozi Liberata Mulamula kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Balozi Mulamula anakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI

Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.Katika Nyumba (Msikiti)  huu ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHA WAALIMU TANZANIA (CWT)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Chama Cha Waalimu TANZANIA (CWT) uliofanyika katika hoteli ya Ngurdoto nje kidogo ya mji wa Arusha jana.Wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STATEMENT BY DR. SERVICUS B. LIKWELILE, PERMANENT SECRETARY, TREASURY AND...

Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akitoa tamko lake kwa niaba ya nchi ya Tazania Katika Mkutano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGA MKUTANO WA MABALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO...

Balozi Seif kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein akiufunga Mkutano wa Nne wa siku Tatu wa Mabalozi wa Tanzania uliokuwa ukifanyika katika Hoteli ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YAPATA MABILIONI YA PESA KUSAIDIA MAENDELEO KWENYE SEKTA YA UMEME NA...

Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Servicus B.Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATUNI YA LEO

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

CHRISTINA SHUSHO - I'M GONNA WORK FOR THE LORD

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANAMUZIKI WA ITALY MWENYE ASILI YA TANZANIA, CHANTAL SAROLDI KUTUMBUIZA...

Mwanamuziki Chantal Saroldi muitaliano mwenye asili ya Tanzania (kushoto), akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam leo Mei 28, 2015. Kulia ni Balozi wa Italia nchini Tanzania, Luigi Scotto....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA KUFANYIKA JUMAMOSI MAY 30, 2015

MZEE SAMUEL NTAMBALA LUANGISAFamilia ya Marehemu Mzee Luangisa na New York Tanzania Community, inawakaribisha kwenye MISA ya kumuaga Marehemu Mzee wetu, Baba yetu na Kiongozi wetu Mzee Samuel Ntambala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAPIGA JEKI SIKU YA MAZINGIRA

Afisa Usalama na Mazingira wa Airtel, Mazoya Ncheye (pili kulia) akimkabidhi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk. Binilith Mahenge msaada wa moja ya fulana zilizotolewa na Airtel...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI BODI YA MIKOPO WATAKIWA KUONGEZA UFANISI

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. George Nyatega (mwenye tai) akipokea tuzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA UCHAGUZI 2015; MJUE SAMUEL JOHN SITTA MZEE WA VIWANGO NA KASI

-Historia yake.Samuel John Sitta alizaliwa Desemba 18, 1942 huko wilayani Urambo Mkoa wa Tabora. Sitta alisoma Shule ya Msingi Urambo kati ya mwaka 1950 – 1953, kisha alikwenda Wilaya ya Sikonge mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO NA HUAWEI ZATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 NA HUDUMA YA INTANETI KWA SHULE YA...

Meneja Mahusiano kwa Umma wa kampuni ya Huawei Jin Liguo akiongea na waandishi , Walimu na Wanafunzi wa Shule ya msingi Chuda wakati wa sherehe za kukabidhi kompyuta 10 zenye inteneti ya bure ya Tigo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA MIKOA 4

Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAPSEA WAAANZA KUVURUGANA

Viongozi wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA) walioko madarakani sasa ambao wanaolalamikiwa kuingia madarakani kinyume na katiba ya chama hicho wakizungumza na baadhi ya waandishi wa habari...

View Article
Browsing all 19852 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>