Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19903

MKUTANO WA TATU WA MADAKTARI WA MIFUPA WAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akifungua Mkutano wa tatu  wa Madaktari Bingwa wa Mifupa uliyofanyika katika Taasisi hiyo Dar es Salaam. 
Daktari Bingwa wa Mifupa wa Taasisi hiyo Dk. Edmund Ndalama (kulia)  akizungumza na Makt. Bingwa tota Nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania na Marekani ambapo lengo ni kubadilishana ujuzi kwa Nadharia na Vitendo na unatarajia kumaliza  29-Mei 2015 
 Dokt. Zehrabanu Zulfikar akizungumza na Madkt. wakati wa Mkutano huo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kulia) akisalimiana na Dkt. Bingwa na Rais wa Fracture Care International, Dkt Lewis Zirkle, ambaye ametoa msaada kwa Hospitali 10 za Tanzania ikiwemo na Taasisi ya Mifupa, ambapo kila chuma kimoja ni Dola 600/= na Moi hadi sasa imesaidiwa Vyuma 4000.
 Madkt. wakifatilia kwa makini
 Wakifatilia jambo kwa Umakini mkubwa
 Dkt. Bingwa na Rais  toka Marekani na Muasisi wa Fracture Care International, Dkt Lewis Zirkle (kulia) akiwa na Dkt. Bingwa wa Taasisi ya Mifupa Moi Dk. Rabi Ndeserua
 Dk. Edmund Ndalama (mbele) akiwa na madkt. Bingwa wa Mifupa wakifatilia jambo wakati wa Mkutano huo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, ajali na upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dokta Othman Kiloloma (kushoto) akifatiliajambo wakati wa mkutano huo wa madkt. wa Mifupa  kwenye Mkutano huo wakati alipokuwa akizungumza  Dkt. Bingwa na Rais wa  Fracture Care International toka Marekani na Muasisi  Dkt Lewis Zirkle,
 Madaktari Bingwa wa Taasisi ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) wakishirikiana na madaktari bingwa
 Makt. wakiwa katika picha ya pamoja Baada ya kufanya Upasuaji wa Mifupa kwa mgonjwa

 Dkt. wa Mifupa Moi Dkt. Billy Haonga akielekeza jambo kwa madkt. Bingwa wenzake toka Nchi mbalimbali    kabla ya kumfanyia mgonjwa mwingine
 Wauguzi wa Taasisi ya Mifupa Moi wakimwangalia mgonjwa kwa ukaribu baada ya kufanyiwa Upasuaji katika Taasisi hiyo
 Dkt. Bingwa na Rais wa  Fracture Care International toka Marekani na Muasisi  Dkt Lewis Zirkle (kulia), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo
 Dkt. Bingwa na Rais wa  Fracture Care International toka Marekani na Muasisi  Dkt Lewis Zirkle (wa pili kushoyo), akijadiliana na Madkta wenzake kabla ya Kumfanyia mgojwa huyo wakipitia File lake.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19903

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>