MKURUGENZI WA KAMPUNI YA UJENZI WA BARABARA IRINGA GNSM ATOA MSAADA WA...
majengo ya kituo hichoMKurungenzi wa kampuni ya ujenzi wa barabara Iringa ya GNSM Bw Geofrey Mungai na mkewe Sarafina Mungia katikati wakikabidhi baada ya misaada yenye thamani ya zaidi ya Tsh...
View ArticleDIAMOND PLATNUMZ, MZEE YUSUF WAAHIDI KUANGUSHA SHOO YA KUFA MTU DAR LIVE...
Wanamuziki Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' na Mzee Yusuf (kushoto) wakipozi baada ya kufanya mahojiano na wanahabari leo.Wanamuziki hao wakionyesha mbwebwe zao mbele ya wanahabari (hawapo...
View ArticleMSHINDI WA PILI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 NDIYE ATAIWAKILISHA NCHI...
Kamati ya Miss Universe Tanzania imemteua mshindi wa pili wa Miss Universe 2014, Nale Boniface kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa ya Miss Universe yatakayofanyika mwanzoni mwa...
View ArticleMAKAMU MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA AKUTANA NA VIONGOZI WA WAFANYABIASHARA...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa CCM Taifa Mh Mboni Mhita Ambaye Pia ni Katibu Mkuu wa Pan African Union Ulio Chini ya Umoja wa Afrika AU Anayehusika Kushugulikia Ajira kwa Vijana, Fursa ,Elimu...
View ArticleHOJA ZA DAVID KAFULILA (MB) KWA HOTUBA YA RAIS KIKWETE ALIYOITOA WAKATI...
1. Hoja kwamba pesa zilitolewa kwa uamuzi wa hukumu ya sept 5.2013 sio sahih ikwa sababu hukumu ilisema ALL AFFAIRS OF IPTL SHOULD BE HANDED TO PAP. Haikusema kama escrow monies ni party of affairs of...
View ArticleALEX MSAMA AMWAGA ZAWADI ZA KRISMAS KWA VITUO VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR ES...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam leo wakati...
View ArticlePROFESA TIBAIJUKA NA DHANA YA UWAJIBIKAJI KISIASA
Na Mwandishi Maalum.Dhana ya uwajibikaji kutokana na makosa yanayofanywa na watumishi wa umma ni nyenzo muhimu katika kudumisha utawala bora. Hata hivyo, mara nyingi dhana hiyo imekuwa ikipewa tafsiri...
View ArticleTUIMARISHE ULINZI KATIKA MIKUSANYIKO YA SHEREHE ZA X MASS NA MWAKA MPYA
KESHO ni siku ya Siku kuu, pasi na shaka hakuna mtu ambaye halijui hilo.Siku kuu ya Krisimasi na mwaka mpya ni siku kuu ambazo hufuatana na kwadesturi ya ushirikiano tulio nao hapa nchini siku hizi...
View ArticleTAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO
Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MSANII NASSIB ABDUL ‘DIAMOND’ IKULU,...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha msanii Naseeb Abdul “Diamond” na kumpongeza kwa kushinda tuzo tano za muziki za kimataifa mwaka huu, Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumanne Desemba...
View ArticleMERRY X-MASS; MUUNGANO CHRISTIAN CHOIR - KUZALIWA KWA YESU
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI...
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa...
View ArticleKRISMASI SIYO SHEREHE PEKEE
Leo ni siku ambayo imezoeleka kote duniani kwa waumini wa Dini ya Kikristo kusherehekea kuzaliwa kwa Yesu Kristo kwa kuhudhuria ibada na baadaye kuwa na sherehe ambazo kwa kiasi kikubwa huhusisha...
View ArticleASKOFU DK. MALASUSA ASEMA, TAIFA LINAHITAJI VIONGOZI WAAMINIFU NA WAADILIFU
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Dk. Alex Malasusa akitoa baraka kwa waumina wa kanisa hilo baada ya kumalizika kwa ibada ya Sikukuu ya Krismasi...
View ArticleMH. LOWASSA AHUDHURIA IBADA YA KRISMAS UNGUJA, ZANZIBAR
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akizungumza katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania la Mwanakwerekwe, mjini Unguja, Zanzibar alipohudhuria ibada ya Sikukuu...
View ArticleJAMII YAASWA KUMRUDIA MUNGU - VIONGOZI WA DINI
Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Katoliki , Dar es Salaam Eusebius Nzigilwa akiongoza ibada ya Krismas katika Kanisa la Mt. Joseph, jijini Dar es salaam leo."Shkamoo....." Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu...
View ArticleWATOTO WA KITUO CHA YATIMA CHA TUWAPENDE BUNJU, DAR WAPATIWA CHAKULA...
Danielle Taboada raia wa Uswisi (katika), akimsaidia mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Tuwapende Watoto cha Bunju, wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa na Hoteli ya...
View ArticleFREDRICK SUMAYE: KUWENI NA HOFU YA MUNGU, NAYE ATASIKIA MAOMBI YENU KWA TAIFA
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Sokoine tayari kwa tamasha la Krismas lililofanyika...
View Article