Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWAAGA WATOTO WENYE MATATIZO YA MOYO KWENDA...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo Desemba 26, 2014 kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA WAFALME: DIAMOND, MZEE YUSUF WAWEKA HISTORIA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo.Diamond akiwachombeza mashabiki.Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live.Diamond akiwa kwenye jukwaa la kupanda na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA KRISMAS MJINI IRINGA

Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akimtunza Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini DRC Congo wakati akiima kwenye tamasha la Krismasi lililofamyika kwenye uwanja wa Samora...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOKATE ATOA MISAADA KITUO CHA KULEA YATIMA CHA EXTREME KILICHOPO TANDALE KWA...

Miss Tanzania namba mbili 2006, mwanamitindo na mcheza filamu, Jokate Mwegello, akicheza na mmoja wa watoto wanaolelewa katika Kituo cha Yatima cha Extrem cha Tandale kwa Bi Mwamvua Jumanne,...

View Article

WATU 7 WAMEUAWA KATIKA SHAMBA LA MENGO, TRANS NZOIA NCHINI KENYA

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

EAST AFRICA TUZO ZA AFRIMA DECEMBER 27, NIGERIA

*VANESSA MDEE, RADIO NA WEASEL, DIAMOND PLATNUMZ NA ELANI WANG'ARA2014 inaisha na goodnews kwa East Africa… Majina ya mastaa ambao wamefanya vizuri upande wa Afrika Mashariki 2014 yameongezeka,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NESIWANGU SHOW...MALARIA KIT

NesiWangu Show ni kipindi kinachokusudia kuongeza mwako katika uwanja wa Afya, upatikanaji wa huduma zake na elimu-afya kwa jamii.Katika kipindi hiki, tunazungumza na Mkurugenzi wa Jenga Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATAKIWA KUMWAJIBISHA HARAKA PROF. SOSPETER MUHONGO

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM:Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) limemteka Rais Jakaya Mrisho kumchukulia hatua haraka iwezekananvyo Waziri wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo kutokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKA UNAKATIKA....TUMESONGA MBELE AMA NYUMA???

 Amani, Heshima na Upendo kwa wana-blog wote.Kwanza namshukuru MUNGU kwa baraka ya uhai ambayo mimi nawe tunayo mpaka sasa.Pili nikupe pole kwa harakati za maisha ambazo sote twazipitia kufanikisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE MBONI SHOW KUANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC

Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika  ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu...

View Article

NI KWA NEEMA NA REHEMA - EDSON MWASABWITE

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA SAFARI CARNIVAL 31/12/214

Na Andrew ChaleSAFARI Carnival kwa kushirikiana na Asia Idarous Khamsin (Fabak fashions) usiku wa 31/12/2014, Wameandaa shoo maalum ya Mkesha wa mwaka mpya 'Old Is Gold taarab', Ndani ya ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAYPORT YAMJAZA MANOTI MWANAFUNZI WA MUCE

Mratibu wa Bima ya Elimu ya Bayport Tanzania, Ruth Bura kulia, akizungumza jambo katika makabidhiano ya hundi kwa bwana  Kennedy Kaupenda kushoto kwake, Makao Makuu ya Bayport, mapema wiki hii. Picha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA MABALOZI WA URUSI, CANADA NA ALGERIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM

 Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANADADA ANAYEFANYA VIZURI KATIKA MUZIKI WA BONGO FLEVA, VANESSA MDEE

Na Gladness MallyaMWANADADA anayefanya vizuri katika muziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amewatoa kimasomaso wasanii wa kike Bongo kwa kutwaa tuzo ya kimataifa za All Africa Music...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ENJOY COUNTDOWN PARTY

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH SHARIF AZUA MAPYA YA URAIS 2015

Sheikh Shariff Matongo akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake  jijini Dar es Salaam(hawapo pichani)kuhusu  ndoto yake ambayo ameoteshwa kuelekea mwaka 2015.NA CHALILA KIBUDA, GLOBU YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMA YATOA TAARIFA JUU YA MWELEKEO WA MVUA KWA KIPINDI CHA JANUARI, FEBRUARI,...

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk.Agnes Kijazi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, kuhusu mwelekeo wa mvua kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA PPF IDARA YA UENDESHAJI WAFANYA SHEREHE YA KUFUNGA MWAKA...

Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Assumpta Maina Mallya akifungua sherehe iliyoandaliwa na idara yake kwaajili ya kupongezana kwa kazi za mwaka mzima, sherehe...

View Article
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>