Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAKUSHAURI RAIS KIKWETE, AMUACHE MUHONGO AMALIZE KIBARUA CHAKE

Rais Jakaya KikweteNa Said MwishehePANAPO MAJAALIWA ya Mungu, kesho tunaungana na mataifa mengine duniani kusheherekea mwaka mpya wa 2015.Hivyo, kwa hesabu za kalenda ya mwaka 2014, leo hii tunamaliza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MOROGORO MJINI ATOA WIKI MBILI MTENDAJI WA KATA KURUDISHA FEDHA ZA...

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood  Akiongea Kwa Msisistizo Akimtaka Mtendaji wa Kata ya Luhungo Iliyopo Mzee Makame Kai Kurudisha Fedha za Wananchi wa Kata Hiyo Shilingi Milioni 1.4...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA TEMEKE NA VITONGOJI VYAKE WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA TUO8JANUARY,...

  Hii ilikuwa ni picha ya pamoja ya wasanii na mashabiki waliojitokeza kuunga mkono tamasha hilo la bure ambalo lina lengo la kuhamasisha vijana kushiriki katika maamuzi yenye mustakabali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VYAMA 10 VILISIVYO NA UWAKILISHI BUNGENI VYAWATAKA VIONGOZI WA DINI...

 Katibu Mkuu wa Chama cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwa niaba ya vyama 10 visivyo na uwakilishi wa wabunge Bungeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUNGA MWAKA YA JUMUIYA DMV YAFANA

 Aliyekuwa mwakilishi wa Diaspora bunge la katiba Mhe. Kadari Singo akielezea shughuli za bunge hilo na jinsi gani alivyopigana kutetea swala la uraia pacha huku akiwasihi wanaDiaspora kubadili mtizamo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANZA QUEENS WAICHAPA MARA QUEENS GOLI 6 KWA 1 KATIKA MECHI YA UZINDUZI WA...

Kikosi cha Timu ya Mara (jezi Nyekundu) wakisalimiana na Marefa wa mchezo huo tayari kwa Mtanange wa Women Taifa Cup kuzinduliwa leo jijini Mwanza kwa Kuzikutanisha timu za Mwanza na Mara.Rais wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA MOROGORO MJINI MH ABOOD ATOA MILION 11 KUTATUA KERO YA MAJI MKUNDI...

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood Akizindua Tawi la CCM la Wajasiriamali Bodaboda na Mama lishe lililopo Mgulu wa Ndege Kata Ya Mkundi Manispaa ya Morogoro.Mara Baada ya Kuzindua Tawi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA ASEMA YEYE SI MENEJA WA MWIMBAJI WA ROSE MUHANDO

HATIMAYE Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama (pichani) ameibuka na kutamka yeye si Meneja wa malkia wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando akisema amekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND KUTUMBUIZA TUZO ZA MWANASOKA BORA CAF

Na Saleh JembeMsani Nasib Abdul ‘Diamond’ amechaguliwa kuwa mmoja wa wasanii watakaotumbuiza kwenye hafla ya utoaji tuzo za mwanasoka bora Afrika 2014. Diamond atatumbuiza katika tuzo hizo ambazo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAENDESHA BODABODA WAJINAFASI KWA MIPASHO DAR LIVE

Khadija Kopa akijipinda kimadaha wakati akifanya ‘mavituz’ stejini.Kundi la Ogopa Kopa kazini.Mtoto wa Khadija Kopa aitwae Mohammed Kopa akikamua huku nyuma yake akisapotiwa na wenzake.Mkali wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA CCM CHATO KWA USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwasalimia baadhi ya Wajumbe waa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata ushindi mkubwa katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEREHE ZA MAULID ZAFANA ZANZIBAR NA DAR

Wanafunzi wa Madrasa Shathil ya Chang’ombe jijini Dar es Salaam wakisoma Qaswida wakati wa sherehe za Maulid ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.) zilizofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIREJESHA KIWANDA CHA CHAI CHA MPONDE LUSHOTO KWA WANANCHI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Bumbuli Mh. Januari Makamba wakati alipowasili jimboni humo katika wilaya ya Lushoto. akiwa katika ziara ya siku mbili...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DORIS MOLLEL ACHANGIA VIFAA VYA KUPUMULIA KWENYE WODI YA WATOTO NJITI SINGIDA...

 Redds Miss Kanda ya Kati 2014/15, Doris Mollel akiongea Maneno machache wakati akikabidi mashine mbili za kupumulia kwa watoto waliozaliwa kabla ya muda wa kawaida zenye thamani ya Tsh millioni 1.2...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUYU NA YULE.... MAHOJIANO NA DR. CRISPIN SEMAKULA

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakla.Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini MarekaniPia ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJUMBE KWA TAIFA LETU

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA YA KUMBUKUMBU YA COL CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIMORE, MARYLAND NCHINI...

Picha ya Col. Clement Mwihava ikiwa mbele ya kanisa wakati wa misa.Padri Honest Munishi(kushoto) akisaidiwa na padri FilbertTairo wakati wakiongoza misa ya kumbukumbu ya Col. Clement Mwhava...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CALLING FOR OUTSTANDING YOUNG LEADERS IN DAR ES SALAAM

Are you an exceptional change leader with outstanding potential and significant achievement in shaping your community?Joining the Dar Es Salaam Hub of the Global Shapers Community offers you a unique...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AMWAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI IKULU DAR LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akimwapisha George Mcheche, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam, leo mchana....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAND ROVER FREE LANDER LINAUZWA BEI POA

2003 LAND ROVER FREE LANDER: T373 basMake: Land RoverModel: FreelanderYear: 2003Price: TZS 7,000,000/-Negotiable: YesKilometers: 78,540Fuel: PetrolColour: BlueTransmission: AutomaticFour Wheel Drive:...

View Article
Browsing all 19676 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>