UTALII WA NDANI: TASWIRA ZA JIJI LA LIMA NCHINI PERU
Taswira mbalimbali za Jiji la Lima nchini Peru, hapa ni katika mzunguko wa magari Round About kuingia Ukumbi wa Jeshi la nchi hiyo wenye jina hilo pichani. Kwa upande wa mandhari kiukweli wanajitahidi...
View ArticleMAAJABU YA KIFO CHA MAMA YAO AKINA MWAIBALE ALIFARIKI SIKU ILE ILE ALIYOZALIWA
Ankal Muhidin Issa Michuzi akimfariji Dotto Mwaibale wakati wa kuuaga mwili wa marehemu Jijini Dar es salaam kabla ya kusafirishwa Mbeya kwa mazishi, wengine katika picha ni pamoja na Asha Kigundula,...
View ArticleSERIKALI YAZINDUA RASMI USAMBAZAJI TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA, PATO LA MWANACHI...
Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum (katikati) akizindua rasmi Takwimu za Pato la Taifa zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio wa 2007 leo jijini Dar es salaam. Waziri wa Fedha Mh. Saada Mkuya Salum...
View ArticleAISHA MADINDA AZIKWA LEO, KIGAMBONI JIJINI DAR
Mwili wa Aisha Madinda ukitolewa kwenye gari la kubebea maiti mara baada ya kuwasili nyumbani kwao,Kigamboni. Mwili wa Aisha Madinda ukiwasili nyumbani kwa ajili ya kuswaliwa kabla ya mazishi...
View ArticleSERIKALI IMEJIPANGA KUENDELEA KUWEKA MAZINGIRA BORA KWA VIJANA ILI WAWEZE...
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM:Waziri wa Nchi ofisi ya waziri Mkuu, Sera Uratibu na Bunge Mheshimiwa William Lukuvi amesema kwamba serikali imejipanga kuendelea kuweka mazingira bora kwa vijana ili...
View ArticleBONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE
Mabondia Antony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao Mussa alishinda kwa point mpambano huo.Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito...
View ArticleTAARIFA YA SERIKALI KUHUSU WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA...
NAIBU WAZIRI – ELIMU OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI, Mhe. Kassim Majaliwa akiongea na waandishi wa habari kuhusu taarifa za wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza kwa mwaka 2015. Mkutano...
View ArticleWAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMAS MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO
Mwimbaji wa muziki wa injili Tumaini Njole akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa Tamasha la Pasaka litakalofanyika sikukuu ya Krismas tarehe...
View ArticleHOJA ZA MSINGI ZA PROFESA ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA KWA NINI HAONI MANTIKI YA...
1. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), inayoongozwa na Zitto Kabwe hakuniita ili kupata nafasi ya kujitetea, kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwangu, kwamba nilipewa fedha...
View ArticleUEFA GOO NIGHT CLUB KUZINDULIWA MKESHA WA KRISMAS
Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kinatarajiwa kuzinduliwa mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam Kiwanja hiki ni cha Kisasa kiko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea...
View ArticleMKANDARASI GEOFREY MUNGAI ATOA MSAADA WA KRISMAS KWA YATIMA DBL
Bi Sarah Mungai akiwa na mmoja kati ya watoto yatima wa kituo cha DBL mkimbizi Iringa Bi sarah Mungai akiwa na Mtoto aliyetupwa na mama yake mzazi ambae anautindia wa ubongo mara baada ya...
View ArticleAIRTEL YATOA MSAADA KWA KUNDI LA WALEMAVU
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA RASMI MAJENGO YA TAASISI YA MAFUNZO YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati wa...
View ArticleJOHNSON LUKAZA NA MDOGO WAKE MWESIGWA WA KESI YA EPA WAACHIWA HURU
Bw. Johnson LukazaBw. Mwesigwa Lukaza Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imemwachilia huru Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw. Johnson Lukaza na mdogo...
View ArticleDIAMOND AFUNGUKA KUHUSU WEMA, ZARI, MENINA NA PENNY
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleUVCCM WAMPONGEZA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE KWA HOTUBA YENYE UFAFANUZI WA...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) inampongeza Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Profesa Jakaya Mrisho Kikwete kwa...
View ArticleSALAMU ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleKUELEKEA SIKUKUU YA KRISMASI WANAHABARI KULWA NA DOTTO MWAIBALE WAZURU KABURI...
Kulwa na Dotto wakiwa wamekaa juu ya kaburi la baba yao mzee Anyitike Mwakwama Mwaibale aliyefariki January 28 mwaka 2007 huku wakilitizama kaburi la mama yao. Wanahabari Kulwa na Dotto Mwaibale,...
View Article