'BIG RESULTS NOW' KUFANIKISHA UBIA KATI YA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, hivi karibuni. Semina hiyo...
View ArticleKUNDI LA MAFIKIZOLO KUWASILI LEO DAR
Kundi maarufu la muziki wa Kwaito la nchini Afrika kusini, Mafikizolo linatarajia kutua mchana huu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya onesho moja tu linalotarajia kufanyika katika ukumbi wa Mlimani...
View ArticleTIGO YAFUNGUA TAWI JIPYA MJINI SONGEA
Mkuu wa Wilaya wa Songea Mjini, Joseph Mkirikiti akikata utepe kuashiria ufunguzi wa duka jipya la Tigo lililopo mjini Songea mtaa wa Shafi Bora asubuhi ya leo mkoani Ruvuma. Wakishuhudia kutoka...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI, KUZUNGUMZIA MWENENDO WA...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Jakaya Kikwete akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi hao wakati akizungumzia mwenendo...
View ArticleSHULE YA MOTAMBURU MOSHI YAPATA MSAADA WA VITABU TOKA AIRTEL
Mkuu wa wilaya ya Rombo (kulia) akimkabidhi mwanafunzi Happnes John wa shule ya sekondari motamburu moja ya vitabu vya sayansi vilivyo tolewa na Airtell katika mpango wa shule yetu kwa shule ya...
View ArticleJAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUACHA MALUMBANO, WAJADILII RASIMU...
Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA NYUMBANI BAADA YA ZIARA YA UINGEREZA NA UBELGIJI
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki baada ya kuwasili leo April 4, 2014 katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea...
View ArticleTIGO YASAIDIA KUKUZA VIPAJI NCHINI
Kampuni ya simu ya mikononi ya tigo imeamua kutoa udhamini kwa watoto wa kitanzania wanaocheza mpira wa kikapu, (basketball) kwenda nchini Canada kwa ajili ya mashindano yanayojulikana kama Basketball...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AONGOZA MAZISHI YA ALIYEKUWA ASKOFU WA KANISA LA...
Waziri mkuu Mizengo Pinda na mkewe wakitoa heshima za mwisho walipokuwa wakiuaga mwili wa aliyekuwa Askofu wa kanisa la Anglican Central Tanganika Godfrey Mdimi Mhogolo kabla ya ibada ya mazishi...
View ArticleVYAMA VYA SIASA VYAFANYA KONGAMANO LA KUJADILI KATIBA MPYA
Katibu Mkuu wa Chadema, Dr. Wilbroad Slaa akiwahutubia wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa Kongamano la kujadili Katiba mpya inayoendelea mjini Dodoma jana.Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi Ndg. Mosena J....
View ArticleDKT. SHEIN AFUNGA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE LEO
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati...
View Article13 MEMBERS OF THE SAME FAMILY KILLED IN GRISLY ACCIDENT IN MASII, KENYA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleWADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKUTANISHWA NA TBC LEO
WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJAwadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchiBaadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa...
View ArticlePICHA YA RAIS OBAMA YAZUA KIZAA ZAA
IKULU ya Marekani ‘White House’ imekilalamikia kitendo cha kampuni ya simu ya Samsung cha kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyojipiga na mchezaji maarufu nchini Marekani, David Ortiz kama tangazo la...
View ArticleUTII WA SHERIA BILA SHURUTI
Askari wa Usalama Barabarani wakigagua bodaboda ya miguu mitatu mara baada ya kuona inamakosa kadhaa.Askari wa Usalama barabarani akiwandikia faini baada ya kugundua bodaboda hiyo inamakosa. Tukio...
View ArticleTPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKOANI LINDI
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa hafla ya...
View Article