Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19575 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAFUNGA MAFUNZO YA ZOEZI LA UORODHESHAJI WA VIWANDA...

 Mkurugenzi wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAKUMBANA NA CHANGAMOTO ZA BARABARA...

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akimueleza jambo Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini,Mh.Ali Mohammed Kessy,walipokuwa wakitembea kwa miguu kufuatia msafara huo kukumbana na changamoto ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USHINDI NI WETU CCM-CHALINZE: NAPE

Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi (CCM) akizungumza na waadishi wa habari kwenye hoteli ya Bonelle mjini Chalinze wakati akizungumzia maendeleo ya kampeni za chama hicho katika jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE ATEMBELEA ABERDEEN, SCOTLAND, AONGEA NA KUNDI LA WABUNGE WA...

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu kuendesha mfano wa mtambo wa kufundishia namna ya kuchimba mafuta katika visima vilivyo bahari kuu (KCA Deutag Dart Drilling Simulator and Well Enginering...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPINZANI WA MIYEYUSHO KUWASILI LEO

BONDIA Ronald Pontillas, atawasili nchini leo kwa ajili ya pambano lake la kimataifa dhidi ya bondia Francis Miyeyusho, litakalofanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA, Dar es Salaam.Akizungumza Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OSIEA YATOA WITO KUWA NA VYOMBO HURU VYA HABARI JIJINI DAR

Meneja Mradi wa Asasi ya Kijamii ya The Open Society Initiative For Eastern African Tanzania (OSIEA), Agnes Hanti akiongea wakati wa mafunzo kwa wadau wa Habari nchini juu ya changamoto zinazowakabili...

View Article

ZOEZI LA KUONDOA OMBAOMBA KATIKATI YA JIJI LA DSM LIMEANZA

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 KWA KUTUMIA VYANZO VYA MAPATO...

 Magari Mapya aina ya Toyota  Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa. Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi ya manispaa ya Kinondoni. Mstahiki Meya Yussuph Mwenda akiongea na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAIDI YA WATU TAKRIBANI MILIONI 3.3 HUTUMIA HUDUMA ZA KIBENKI : GAVANA BENNO...

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Profesar Benno Ndulu akikata utepe kuzindua kitabu cha ripoti ya utafiti Tanzania katika masuala ya uchumi uliofanyika leo Aprili 2, 2014 katika ukumbi wa Makao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA YA LEO

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

WEMA SEPETU AJICHIZISHA NDANI YA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHER

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAADA KWA MAMA HUYU BAADA YA KUJIFUNGUA WATOTO 3

Ndugu Msomaji wetu Ukiguswa na Habari hii tafadhali toa chochote kwa Binti huyu pichani hakika anahitaji msaada wako.Binti huyu anajulikana kwa jina la Phidea Furgence miaka 24 alijifungua watoto 3  wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAFANUZI WA IKULU; 'WARIOBA: IKULU IMETUTUPIA VIRAGO'

Gazeti la Raia Mwema lililotoka leo, Jumanne, Aprili 2, 2014, limeandika habari zisizokuwa za kweli chini ya kichwa cha habari : “Warioba: Ikulu imetutupia virago”. Habari hiyo inamkariri aliyekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.Makampuni matatu makubwa yaliyo ndani ya MeTL Group hivi majuzi yamefanikiwa kutwaa tuzo za Rais za Watengenezaji Bidhaa kwa mwaka 2013.Makampuni hayo ni: East Coast...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LALA SALAMA ZA KAMPENI ZA UCHAGUZI CHALINZE

 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea kadi za Chama cha CUF kutoka kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama hicho Kata ya Msata,Idd Njema ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA...

 Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam...

View Article

KAMPENI ZA CHADEMA - UCHAGUZI MDOGO CHALINZE

Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA KANUMBA ASEMA MIMI SIJAWAHI KUNYWA POMBE, NIMEOKOKA NAMPENDA SANA YESU...

Mama mzazi wa Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila akikata ulabu.Stori: Gladness Mallya na Hamida HassanMAMA wa msanii wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupiwa tuhuma nzito kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TFDA YATOA MATOKEO YA UKAGUZI MAALUM WA MADUKA YA BIDHAA ZA VYAKULA JIJINI...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa(TFDA) Bw.Hiiti Sillo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu ukaguzi maalum wa maduka ya kuuzia vyakula “Supermarkets” na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOW ONE BOY LOST A LEG TO FIND HIS FEET

Learning to walk: Hamisi and his prosthesis.What happens when a community pulls together to help one of their own? MOblog has followed the remarkable story of a young Tanzanian boy called Hamisi.Hamisi...

View Article
Browsing all 19575 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>