MANISPAA YA KINONDONI YAPITISHA BAJETI YA SHS. BILIONI 121
Baraza la madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limepitisha bajeti ya sh.bilioni 121 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ya halmashauri kwa mwaka wa fedha wa...
View ArticleANAFATUTA MCHUMBA
Master Oscar JohnMimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo...
View ArticleACHENI KUCHANGANYA MAPENZI NA MASOMO: CHIKU NGALLAWA
NA OSCAR ASSENGA, MUHEZA.MKUU wa Mkoa wa Tanga, Luteni Kanali Mstaafu, Chiku Gallawa amewataka wanafunzi wa shule za msingi na sekondari wilayani hapa kuacha kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa mashuleni...
View ArticleUFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMAKUHUSU...
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA HABARI JUU YA KANZA...
Na Veronica Kazimoto – MAELEZOWatanzania wameshauriwa kutumia kanza inayoonesha viashiria vya kiuchumi na kijamii (Tanzania Social Economic Database -TSED) ili kurahisisha upataji wa taarifa pindi...
View ArticleKALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA WA KUCHEZA NA BINGWA KATI YA MASHALI AU...
Bondia Kalama Nyilawila katikati akitia saini ya kucheza pambano siku ya mei mosi atacheza na Thomasi Mashali au Japhert Kaseba inategemea na mshindi wa mechi hiyo ya March 29 itakayofanyika PTA...
View ArticleMISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ELIZABETH ELINEO SANGA-MUHIMBILI
Marehemu Elizabeth Sanga enzi za Uhai Wake.Amefariki akiwa na Miaka 32.Elizabeth Elineo Sanga Sehemu ya Ndugu na Jamaa wakiwa kwenye Ibada maalumu yaKumuombea Marahemu tayari kwa safari ya kuelekea...
View ArticleKUWA MBUNGE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA NI MALIPO TOSHA: SIXTUS MAPUNDA
Nipo Dodoma kufanya kazi kubwa na ya muhimu kwa mustakabali wa taifa letu tukufu. Kazi ya kutengeneza katiba ambayo kama ikipitishwa na wananchi, basi ndio itakuwa katiba mpya ya Tanzania.Ni kazi ya...
View ArticleSAKATA LA POSHO KWA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA LAUNDIWA KAMATI
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini...
View ArticleJUMAPILI NJEMA; MASANJA MKANDAMIZAJI - HAKUNA JIPYA
Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAWAUMBUA SHULE ZENYE MAJINA YA VIONGOZI, MH....
Rais Mstaafu Benjamini Willium Mkapa, ambaye ndiye pekee jina lake linatumika vyema kwa shule iliyobeba jina lake kufanya vyema.Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne 2013 yalitangazwa juzi na Kaimu...
View ArticleMWANAMKE MMOJA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KWA TUHUMA ZA...
Rukia Fungameza[20]mkazi wa mtaa wa Ilembo Kata ya Iwambi Anaetuhumiwa kutupa mtoto chooni.Wakina mama wakilia kwa uchunguMwenyekiti wa mtaa huo Juma Mbuza mwenye Flana ya bluu akiwa na balozi kushoto...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAKANUSHA KUZIBANA WIZARA
Na Veronica Kazimoto - MAELEZOOfisi ya Taifa ya Takwimu imetoa wito kwa viongozi mbalimbali wakiwemo wanasiasa wote nchini kutumia taakwimu sahihi zinazotolewa na Ofisi hiyo ili ziweze kutumika katika...
View ArticleMIMI SIWEZI KUNUNUA GARI WAKATI NAISHI NYUMBA YA KUPANGA
Kumekuwa na minong'ono ya hapa na pale kwa baadhi ya wakazi wa jiji na maeneo ya jirani kwa kile kinachoitwa ukilitimba wa fikira.Tunaona kila kukicha maisha ya mtanzania yanakuwa magumu kutokana na...
View ArticleRAIS KIKWETE ASAIDIA KUENDESHA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO...
Mkurugenzi wa Radio One Bw. Deo Rweyunga akitangaza mchango wa makampuni ya IPP ya kununua kifaa cha thamani ya dola elfu 50 ) katika hafla ya harambee ya kuchangia ujenzi wa wodi ya dharura kwa...
View Article