HAWAJUI TULIPOTOKA WATAJUAJE TUNAPOKWENDA, PROFESAR J NA LADY JAYDEE
Pichani kutoka kushoto ni Profesar J enzi hizo anaitwa J wamitulinga akiwa na msanii mwanadada Lady Jaydee (kati) pamoja na Mac D.Copyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleTAARIFA KWA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Taarifa Kwa WajumbeCopyright 2007-2014 @KAJUNASON BLOG
View ArticleUSIKU WA VALENTINE DAR LIVE
Nyomi ya wapendanao ikifuatilia kwa makini burudani.Zawadi za Valentine zikiuzwa ndani ya Darlive kama zilivyonaswa na kamera yetu.Mnenguaji wa Jahazi akifanya yake.Dada huyu alishindwa kujizuia...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI KUU CCM CHAFUNGULIWA LEO, DODOMA
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Kikaocha Kamati Kuu ya CCM, kilichoanza jioni hii kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu mjini Dodoma.Mjumbe wa Kamati Kuu, Dkt. Mohammed Gharib...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI ZA UKATILI WA KIJINSIA WAPONGEZWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA), Valerie Nsoka akizungumza na wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Makao Makuu ya Ofisi hizo, Sinza Jijini Dar es Salaam....
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA KITABU CHA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILINA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi...
View ArticleMEMBE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI CCM, DODOMA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Ndugu Bernard Membe akizungumza na waandishi wa habari nje ya Ukumbi wa NEC mara baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili ambapo alisema Kamati ya...
View ArticleBI. GRACE NDIYE MGOMBEA UBUNGE KUPITIA CHADEMA LA JIMBO LA KALENGA, IRINGA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akimtambulisha Grace kuwa ni mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa, wakati wa mkutano na waandishi wa...
View ArticleUWF KUANDAA HAFLA YA FAMILIA MACHI 15
 Mchoro wa tuzo ya Mwanamakuka kama uonekanavyo pichani Kushoto ni Meneja wa Mradi wa Mwanamakuka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kikundi cha Umoja wa Wanawake Marafi (Unit of Women Friends).Bi Maryam...
View ArticleVIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI GEZAULOLE, DAR
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa, ni vya manispaa ya TemekeVipo Gezaulole Kigamboni Sq. 1500 Tshs. Milioni 30Sq. 1009 Tshs. Milioni 22Sq. 822 Tshs. Milioni 19Sq. 759 Tshs. Milioni 17Gharama zote ni pamoja...
View ArticleVYOO VYA JUMUIYA NA MAJI MACHAFU HUSABABISHA WANAWAKE KUPATA UGONJWA WAUTI
Na Herieth Makwetta, MwananchiKatika magonjwa yanayosumbua wanawake wengi na watoto nchini hivi sasa ni ugonjwa unaoathiri njia ya mkojo U.T.I (Urinary Tract Infection).Wakati wanawake wengi wanaougua...
View ArticleMBEYA CITY WAVUNJA REKODI YA MAPATO KUZISHINDA SIMBA NA YANGA
MAPATO kwa mechi ya ligi ya Vodacom kati ya timu za Mbeya City ya Jijini Mbeya na Simba ya Jijini Dar es salaam yamevunja rekodi ya michezo yote iliyowahi kuchezwa nje ya Jiji la Dar es salaam kwa...
View ArticleMSANII LULU AKIRI KUWA ALIKUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MAREHEMUKANUMBA,...
Elizabeth Michael 'Lulu' (katikati) akiwa na mama yake mzazi, Lucresia Karugila (wa pili kushoto) na Dk. Cheni (kulia) ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo. Picha kwa hisani GPL----MSANII...
View ArticleHUDUMA MPYA YA AIRTEL MONEY YAZINDULIWA
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Bw Sunil Colaso akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel money ijulikanayo kama Hatoki Mtu Hapa ambapo wateja watapa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KAIMU KAMISHNA WA TRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Kaimu Kamishna Jenerali wa TRA, Risherd Badei, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar...
View ArticleKAMPENI ZA UHAMASISHAJI VIRUTUBISHI KWENYE CHAKULA ZAENDELEA MANYARA
Mwelimishaji wa masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Sara Luzangi, akiongea na wanafunzi wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara, juu ya umuhimu wa matumizi ya vyakula...
View Article