Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 19859 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KABUDI KUZINDUA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI MACHI 3

Na Mwandishi Wetu, JAB, Dar es SalaamWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Palamagamba Kabudi, Wiki ijayo anatarajiwa kuzindua Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB). Taarifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJUMBE WA BODI YA KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA WASILISHENI MAPENDEKEZO...

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati wa kikao cha uzinduzi wa Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara katika Utumishi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Askofu Msimbe ataka Diaspora wa Uingereza kushikamana

Na Mwandishi Wetu, London.Askofu Lazarus Msimbe S.D.S wa Jimbo Katoliki Morogoro (pichani) amewataka Watanzania waishio nchini Uingereza (Diaspora) kutambua na kuendeleza mshikamano baina ya waumini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NLD YAFUNGUA PAZIA LA MCHAKATO WA KUWANIA NAFASI NDANI YA CHAMA KUELEKEA...

Na Oscar Assenga, TANGAKATIBU MKUU wa Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema tayari wamefungua pazia la mchakato wa kuwania nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho kwa ajili ya kuwapata wagombea kwenye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ithibati ni muhimu kwa tasnia ya habari - Waziri Prof. Kabudi

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (kulia) akizindua rasmi Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (Journalists Accreditation Board-JAB) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt. Samia afuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum,...

Watoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Profesa Kabudi aipa maagizo Saba Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

Na Mwandishi Wetu, JAB.Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, (Journalists Accreditation Board-JAB) imetakiwa kuhakikisha kuwa, waandishi wa habari wote nchini wanazingatia sheria, kanuni, viwango...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB, UNDP zazindua programu kuwasaidia wafanyabiashara kufikia Soko...

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe (wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria kuzindua programu ya kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wa kati kushiriki fursa zilizopo katika Soko Huru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tido Mhando aongoza kikao cha kwanza cha Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari

Na Mwandishi Wetu.Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari ( Journalists Accreditation Board- JAB) Bw. Tido Mhando, akiongoza kikao cha kwanza cha Wajumbe wa Bodi hiyo ikiwa ni siku moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YAZINDUA DUKA LA HUDUMA KWA WATEJA NUNGWI, ZANZIBAR

Kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya la huduma kwa wateja kata ya Nungwi, mkoa wa Kaskazini A, ikiwa ni hatua muhimu ya kutoa huduma bora za mawasiliano na bidhaa za kisasa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC Queen Sendiga Aweka Jiwe la Msingi Katika Mradi wa Uvunaji Maji ya Mvua...

Katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, leo tarehe 4 Machi 2025 ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa miundombinu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wataalamu UDSM wakutana na viongozi wa TBN katika kikao kazi

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.WATAALAMU kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wamekutana na baadhi ya viongozi na wajumbe wa Tanzania Bloggers Network (TBN) kwa mahojiano maalum yenye lengo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME KUANDIKISHA WAPIGA KURA WAPYA ZAIDI YA LAKI SITA DAR

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza leo Machi 05,2025 wakati akifungua mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania, Kenya zawezeshwa kujadili mwambamaji mlima Kilimanjaro

Mtaalam wa maswala ya maji Kanda ya Afrika Mashariki wa UNESCO's ROEA, Alexandros Makarigakis (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu wa Maji Kutoka Wizara ya Maji, Usafi wa Mazingira na Umwagiliaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Benki ya Exim Kufurahia Huduma za Kipekee Kutoka CIP Lounge katika...

Ofisa Mkuu wa Fedha kutoka benki ya Exim, Shani Kinswaga (kushoto) na Mkurugenzi wa kampuni ya Dough Works Limited, waendeshaji wa CIP Lounge, Vikram Desai wakisaini nyaraka za makubaliano kwa lengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAFURIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU

Na Mwandishi Wetu – Arusha.Kufuatia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotegemea kufanyika Kitaifa Jijini Arusha Tarehe 8 Machi, 2025, yaliyotanguliwa na maonesho na utoaji wa Elimu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WA UBORESHAJI WA DAFTARI WAASWA KUWAHAMASISHA WANANCHI

Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya watendaji wa uboreshaji wa Daftari kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya Exim Yaandaa Futari Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

Dar es Salaam, 6 Machi 2025 – Benki ya Exim Tanzania imeandaa futari maalum jijini Dar es Salaam, ikikusanya pamoja Wateja wake, viongozi wa dini, na wadau wakuu kwa jioni ya shukrani, mshikamano, na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA FORODHA AFRIKA MASHARIKI NA KATI - FIATA RAME 2025

Tanzania imechaguliwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Kimataifa wa Shirikisho la vyama vya mawakala wa ushuru wa forodha kwa upande wa Afrika Mashariki na kati (FIATA-RAME) unaotarajiwa kufanyika mwaka...

View Article
Browsing all 19859 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>