RAIS SAMIA: TANZANIA IMEPIGA HATUA KUBWA KATIKA USAWA WA KIJINSIA Saturday,...
Na Mwandishi Wetu.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa kupitia utekelezaji wa Ilani ya CCM,...
View ArticleVodacom Tanzania na dLab Wawezesha Wasichana Kupitia Programu ya CODE LIKE A...
Mkurugenzi wa Raslimali Watu kutoka Vodacom Tanzania Plc, Vivienne Penessis (kushoto) akizungumza na wanafunzi wa programu ya 'Code Like A Girl' yenye lengo la kukuza uelewa wa wanafunzi wa kike katika...
View ArticleSerengeti Breweries Limited (SBL) Yatambuliwa Katika Tuzo za Rising Woman kwa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Mwananchi Communications Ltd, David Nchimbi (wa tano kutoka kulia) akimkabidhi tuzo Elizabeth Muro (kushoto), Mkurugenzi wa Sheria na Uadilifu wa Biashara wa SBL kwenye tukio la...
View ArticleTUGHE TANGA WATOA MISAADA HOSPITALI YA AFYA YA AKILI LUTINDI KOROGWE
Na Oscar Assenga,KOROGWE.Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (Tughe) Mkoa wa Tanga wametumia maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani kwa kutoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliopo katika...
View ArticleSERIKALI IMEFANYA JITIHADA KUBWA KUWEZESHA WANAWAKE KUPIGA HATUA KIMAENDELEO
Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Mwanaamani Mtoo akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani...
View ArticleBenki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali...
Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap,...
View ArticleKONGAMANO LA TATHIMINI YA UJENZI WA HOSPITALI YENYE MAADILI YA KIISLAMU...
Na Oscar Assenga, TANGAKONGAMANO la Tathimini ya Ujenzi wa Hospitali itakayosimamia maadili ya Kiislamu limefanyika Jijini Tanga huku wadau wa maendeleo nchini wakiombwa kuchangia kufanikisha ujenzi...
View ArticleKAMATI YA PIC YAIPONGEZA TANROADS USIMAMIZI UWANJA WA NDEGE MSALATO
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) Mhe. Augustine Vuma Holle (Mb) akizungumza mara baada ya Kamati hiyo kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa uwanja wa Ndege...
View ArticleRC TANGA ALIPONGEZA SHIRIKA LA TASAC KWA UTOAJI WA ELIMU JUU YA MADHARA YA...
Na Oscar Assenga,TANGA.SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limepongeza kutokana na juhudi zake kubwa za kutoa elimu kwa wananchi wakiwemo wadau mbalimbali juu ya madhara yatokanayo na uchafuzi...
View ArticleRAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE ZIARANI JAPAN: KUKUTANA NA VIONGOZI, KUSUKUMA...
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Fedha wa Japan, Mhe. Shin-ichi Yokohama,jijini Tokyo.Na Mwandishi Wetu.Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
View ArticlePAC YAIPONGEZA MSD KWA KUJENGA GHALA LA KISASA LA KUHIFADHIA BIDHAA ZA AFYA
Na Mwandishi Wetu.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (pichani) imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ghala la...
View ArticleTUME YAWATAKA WAENDESHA BVR DAR KUFUATA SHERIA, KUTUNZA VIFAA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (katikati) akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya...
View ArticleBenki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii
Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson...
View ArticleKamati ya Bunge ya Afya, UKIMWI yaipongeza Barrick Bulyanhulu kuzingatia...
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa.Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga.Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick...
View ArticleMFUMO WA USAJILI WAANDISHI WA HABARI KIDIJITALI UPO MBIONI KUKAMILIKA- MSIGWA
Na Mwandishi Wetu.Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wakala ya Serikali Mtandao (e-GA) inaendelea na hatua za mwisho za ukamilishaji wa ujenzi wa mfumo...
View ArticleWADAU MWANZA KUFUTURISHA WATOTO YATIMA, RC MTANDA AIPONGEZA BENKI YA NBC
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ameelezea dhamira ya uongozi wa mkoa huo kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), kuandaa hafla kubwa ya futari mahususi kwa...
View ArticleDAR WAANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Hawa Halifani Mbega mkazi wa Mtaa wa Mnazi Mmoja Kata ya Jangwani Dar es Salaam akifurahia kadi yake mpya ya Mpiga Kura baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji...
View Article“Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari” - Wakili Kipangula
Na Mwandishi Wetu, JABBodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari...
View ArticleJAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
Na Mwandishi wetu, JAB.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo...
View ArticleTANGA UWASA KUBORESHA UWEZO WA UZALISHAJI MAJI KUFIKIA LITA MILIONI 60
Na Oscar Assenga, TANGAMAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Tanga Uwasa) imeweka bayana mpango mkakati wao wa kuboresha uwezo wa uzalishaji wa maji kutoka Lita Milioni 45 mpaka kufikia Lita...
View Article